Acheni tabia za kula nauli za watu kama hamna nia

Kumbe bado ela inapatikana kirahisi eeh ?? Naomba uncle wa chattle aendelee kukaa zaidi maana me nilijua tushaanza kuheshimu ela baada ya maneno ya kuita ela jero , buku kupotea mtaani kumbe bado kuna hawa wanaituma ovyo..
uncle kaza kidogo huku bado ela haiheshimiwi
 
Siyo wao waache kula nauli za watu bali ninyi ndo muache kuchepuka yaani wanaume bwana siku hizi mnaona kuchepuka imekuwa fahari kabisa eti aje akukeep busy huko ulipo na mimi nawapongeza sana wadada wanaokula hizo nauli yaani namuonea huruma mke wako tu maana kaolewa na hasara
Natafuta mke...naomba nikutongoze?
 
Ila hii habari siielewi wazee...
Ni kwamba jamaa ana mke nyumbani.... Jamaa kasafiri kikazi kamtumia mchepuko nauli aende huko aliko, mchepuko umekula nauli na haukwenda aliko jamaa.. Jamaa analalamika mchepuko au wadada Tuache tabia ya kula nauli tukitumiwa tuende mara moja sio tunaila kisha tunamute...

Nadhani umeelewa

Angalizo usitume nauli... Ukimmiss mpenzi wako mwambie baby njoo atajua yeye nauli apate wapi akifika mpe nauli yake na ya kurudia pamoja na matumizi

Usipoelewa hapa hutoelewa tena
 
Namkumbuka ..nlimtumia demu nauli 3500..aje eneo la tukio lakin had leo hajafika..
 
Ni kwamba jamaa ana mke nyumbani.... Jamaa kasafiri kikazi kamtumia mchepuko nauli aende huko aliko, mchepuko umekula nauli na haukwenda aliko jamaa.. Jamaa analalamika mchepuko au wadada Tuache tabia ya kula nauli tukitumiwa tuende mara moja sio tunaila kisha tunamute...

Nadhani umeelewa

Angalizo usitume nauli... Ukimmiss mpenzi wako mwambie baby njoo atajua yeye nauli apate wapi akifika mpe nauli yake na ya kurudia pamoja na matumizi

Usipoelewa hapa hutoelewa tena
 
Siku nyingine mwambie Njoo nauli utaikuta huku akitaa akisema hana kabisa mwambie upo wapi nikufuate

Hii njia Wale matapeli wa badoo lazima waku block waingie mitini
Hyo njia badoo mademu wameniblock sana sometime huwa nawaambia chukua uber nakuja kulipa wanagoma ila ambao wapo serious anakuja kwa nauli yake coz anajua anaenda kupiga kazi
 
Ni kwamba jamaa ana mke nyumbani.... Jamaa kasafiri kikazi kamtumia mchepuko nauli aende huko aliko, mchepuko umekula nauli na haukwenda aliko jamaa.. Jamaa analalamika mchepuko au wadada Tuache tabia ya kula nauli tukitumiwa tuende mara moja sio tunaila kisha tunamute...

Nadhani umeelewa

Angalizo usitume nauli... Ukimmiss mpenzi wako mwambie baby njoo atajua yeye nauli apate wapi akifika mpe nauli yake na ya kurudia pamoja na matumizi

Usipoelewa hapa hutoelewa tena
Njoo unielekeze PM basi...hapa naona maandishi yanakatakata.
 
Back
Top Bottom