Acheni tabia za kula nauli za watu kama hamna nia

Kuna mwanangu aliwahi kutuma nauli, akapika maini kilo moja na nusu na kitimoto rost cha kutosha friji ikawa imesheheni halafu shemeji yetu mpendwa hakuja vile vinywaji na mapochopocho ikabidi tufanye tu tafrija.. jamaa alichukia sana lakini hakua na namna toka siku ile demu akifika vitu ndo vinaanza kukangizwa
ha ha ha ha
 
Afadhali hata ungekuja KUBETI huku kwenye AFCON hapo umechemka.....
Kweli mkuu,ila imenisaidia kutafuta sababu ya kuvunja uhusiano kwa sababu miezi miwil mbele kulikuwa na shinikizo ya malipo fulani...na mimi nataka nibane matumizi
 
kwani hujasikia siku izi kuna huduma ya kurudisha muhamala bila kuwasiliana na wakala??
Ha ha ha,umenikumbusha mkuu nilimgegeda mtoto mmoja matata sana kwa makubaliano nimpe 250,000/=ili anivulie pichu,nikasema sawa naomba nikutumie kwa tigo pesa,nikatuma mzigo akapokea,nikaona yuko full tabasamu nikachukua logde nikala,baada ya masaa matatu nikarudisha muamala na kumtumia 20,000/=tu,
Ebana nilitukanwa mitusi yote ya dunia hii
 
Hii tabia ya kutumatuma nauli kwangu haipo,nakutumia tiketi tu utaki acha nikutumie nauli ili iweje ni tiketi basi.
 
Back
Top Bottom