Acheni tabia za kula nauli za watu kama hamna nia

usiwaze. Maana haujui mungu anakuepusha na nini.
mimi nikimtumia demu nauli asipokuja uwa nashukuru mungu.
Wala sigombani nae demu maana naamini kuna kitu kimeniepuka.
juzi TU kuna mmoja yupo arusha nimemtumia nauli aje dar. Kakausha. Sijamtafuta.
Mmh weeeeee hahahahahaha sidhani
 
Nipo ugenini katika mishe zangu za kila siku,nikaamua kumuita mchepuko wangu ambaye yuko mkoa mwingine aje ani-keep busy huku niliko.Tukakubaliana na akaomba nimtumie nauli.......baada ya masaa manne kupita baada ya kumtumia nauli,akaghairi safari...akaanza kuweka sababu mara nitakuja siku nyingine,mara mimi ndio niende huko aliko.....ameniharibia siku kweli imebidi nivunje mawasiliano. Nawasihi wale wapenda kula nauli za watu acheni tabia hizo.
Achana naee anatamaa
 
Kabsa izi tafrija kwa washkaji nimehudhuria sana na nmetoa mialiko sana yani ukishaona demu uliemtegemea aje alafu ajibu/anasua sua kujibu sms au calls zako kinachofata n tafrija ya ghafla hakuna namna
ha ha ha ha
 
Pole sana mkuu, me dem akisema tuma nauli huwa namwambia chukua uber ntalipa huku akija gheto kurud ndo atapewa ya kurudia, wanawake saiv wamekua wamjin sana
 
Me nilishapigwa sana aisee, nakumbuka mara ya mwisho demu tunachat ananipa kabisa na locationa mara ndiyo tumepita Mombo, mara Korogwe..... ghafla baada ya kufika kwao Kimara eti shangazi amelazwa Muhimbili anaenda kumchek, hapo ndiyo nilipostuka kuwa nimeshapigwa ikabidi niongeze bia tu. Sikumuona tena. Sasa hivi situmi nauli kabisa kwanza demu akishaanza nitumie nauli najua hamna kitu hapo nampotezea mazima....
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom