Acheni tabia za kula nauli za watu kama hamna nia

Wewe si nasikia huwa hauwapendi single mothers na huwa unawakashifu balaa?
Shauri zako endelea kuwasikiliza shoga zako. Hata sijui kuwatofautisha wanawake akilini mwangu wewe ndiyo unaniambia wapo single mama.
 
Kama mimi nakusaidia majukumu yako basi na wewe lazima unisaidie majukumu yangu
-pressure cooker.
-rice cooker.
-Dish washer.
-washing mashine.
Nitakusaidia kwa kununua hivyo.

Halafu kwetu umasaini mwanaume na wanawake tunaheshimiana hatushindanagi.
 
Shauri zako endelea kuwasikiliza shoga zako. Hata sijui kuwatofautisha wanawake akilini mwangu wewe ndiyo unaniambia wapo single mama.
Shoga zangu wepi hao? Kwani mimi sisomagi posts zako au comments zako?
 
-pressure cooker.
-rice cooker.
-Dish washer.
-washing mashine.
Nitakusaidia kwa kununua hivyo.

Halafu kwetu umasaini mwanaume na wanawake tunaheshimiana hatushindanagi.
Anha kwahiyo na mimi majukumu yako nisikusaidie eti?
 
Back
Top Bottom