G
guest-1790917349
Guest
Unatapelwaje jmn?Hivi bado Kuna Watanzania wa kutapeliwa kirahisi!?
Maana hulazimishwi kutoa pesa, pia ukishatumia dawa ndo unalipa, ss hapo unatapeliwaje?
Unatapelwaje jmn?Hivi bado Kuna Watanzania wa kutapeliwa kirahisi!?
Ni kweli, ndio maana sijampinga!Shida ya ulcers bwana watu wanapona kwa dawa tofauti ila za mitishamba not hospital!
Yuko sahihi
🤣🤣😂Tunamhoji aliyeleta taarifa
Exactly 💯Ni kweli, ndio maana sijampinga!
Kitu cha msingi watu wapone.
Unaona sasa!!!OGOPA MATAPELI.
Ukitaka kujua kama una ugonjwa wa vidonda vya tumbo lamba asali mbichi vijiko vya chai vitatu. Ukisikia kichefuchefu elewa kuwa una vidonda vya tumbo. Wagonjwa wengine wakitumia asali kwenye chai kwa muda mrefu kama mwezi hivi wanapona.Vidonda vya tumbo nyoko sana aisee yaani vikikamatia unaweza hisi mtu kakuwekea moto tumboni ukikiona chakula unatamani kutapika kabla hata hujala..tangu niache tabia ya kuwahi asubuh kwa mama muuza pombe badala nikanywe chai vikapona kabisa japo kuna muda uwa navishtua na pilipili nione kama vipo.
Kuna jamaa mwingine ana dawa ya mitishamba iko kama majani hivi. Ukisha ichemsha ikapoa unachanganya na asali, kitunguu saumu na limao. Ukinywa mchanganyiko huo kwa muda wa wiki moja unapona. Huyo jamaa yupo Morogoro mjini.Unaona sasa!!!
Tunaitwa matapeli.
Wabongo tuna ujinga mwingi sana.
Kuna mtu kafungua uzi anasumbuliwa na vidonda vya tumbo, nenda kampe ushauri smart boy!!!
Kuna mtu alinambia kila asubuhi niweke vijiko viwili kwenye maji ya vuguvuvu ila sjawah jaribuUkitaka kujua kama una ugonjwa wa vidonda vya tumbo lamba asali mbichi vijiko vya chai vitatu. Ukisikia kichefuchefu elewa kuwa una vidonda vya tumbo. Wagonjwa wengine wakitumia asali kwenye chai kwa muda mrefu kama mwezi hivi wanapona.
Nimempiga simu wala sio mzee lakini pia ni tapeli usithubutuHabari!?
Eeeeh bwana eeeh, nimeteseka sana aisee.
Nimesumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo kwa zaidi ya miaka 10.
Katika kipindi hicho chote nimetumia dawa nyingi sana, kuanzia dawa za hospitali mpaka dawa za asili. Dawa zote zilishindwa kunisaidia.
Hivi karibuni nilikutana na jamaa fulani eneo fulani, katika kupiga stori mbili tatu, nikamchomekea kuhusu shida yangu ya vidonda vya tumbo. Jamaa akaniambia hata yeye alishakuwaga na hiyo shida kipindi cha nyuma, lakini alishapona.
Aliniambia kuna mzee alimtibu kwa kutumia dawa za asili, bahati nzuri alikuwa na mawasiliano ya huyo mzee.
Nilimuomba jamaa mawasiliano ya huyo mzee, jamaa akanipatia.
Siku hiyohiyo nilimpigia simu huyo mzee kumuambia shida yangu. Mzee alinielekeza nyumbani kwake, akaniambia niende nikafuate dawa.
Siku inayofuata nilienda nyumbani kwa huyo mzee, akanipatia dawa pamoja na maelekezo.
Mwisho aliniambia, nikimaliza kutumia dawa, nitampigia simu kumpa mrejesho.
Hizo dawa nilitumia kwa muda wa wiki moja.
Tangu nimetumia hizo dawa mpaka leo sijawahi kusumbuliwa na vidonda vya tumbo tena!!!
Oyaaaah, nimeteseka sana aisee, vidonda vya tumbo sio poa, visikie tu kwa mwenzako.
Namba za huyo mzee hizi hapa chini.
MZEE MUARABU: 0796368846
DuhNimpiga simu wala sio mzee lakini pia nia tapeli usithubutu
😂😂🤣Nimempiga simu wala sio mzee lakini pia ni tapeli usithubutu
Acha utapeli kijana ndo maana mnaliwa kinyume😂😂🤣
Sawa, watakupigia wewe daktari!
Nimekufuatilia kidogo, naona unajitahidi sana kutukana watu!Acha utapeli kijana ndo maana mnaliwa kinyume
Mkuu naweza kupata dawa ya kuongeza hamu ya mapenzi?Kwa taaluma yangu ya miti hii miziz nilivyo iangalia tu nishaijua na ilo gome nimelijua pia
Mkuu naweza kupata dawa ya kuongeza hamu ya mapenzi? Nimeenda hospital nikaambiwa Nina low testosterone yaani hormone yangu ipo chini. Nimetumia dawa. Nateseka sana Ndugu zangu.Kwa taaluma yangu ya miti hii miziz nilivyo iangalia tu nishaijua na ilo gome nimelijua pia
Wewe ni kenge tuNimekufuatilia kidogo, naona unajitahidi sana kutukana watu!
Hii tabia yako itakuja kukugharimu!
Unaweza kupata mkuuMkuu naweza kupata dawa ya kuongeza hamu ya mapenzi? Nimeenda hospital nikaambiwa Nina low testosterone yaani hormone yangu ipo chini. Nimetumia dawa. Nateseka sana Ndugu zangu.