Acha kuteseka, dawa za vidonda vya TUMBO ZIPO!

Acha kuteseka, dawa za vidonda vya TUMBO ZIPO!

Habari!?
Eeeeh bwana eeeh, nimeteseka sana aisee.

Nimesumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo kwa zaidi ya miaka 10.
Katika kipindi hicho chote nimetumia dawa nyingi sana, kuanzia dawa za hospitali mpaka dawa za asili. Dawa zote zilishindwa kunisaidia.

Hivi karibuni nilikutana na jamaa fulani eneo fulani, katika kupiga stori mbili tatu, nikamchomekea kuhusu shida yangu ya vidonda vya tumbo. Jamaa akaniambia hata yeye alishakuwaga na hiyo shida kipindi cha nyuma, lakini alishapona.

Aliniambia kuna mzee alimtibu kwa kutumia dawa za asili, bahati nzuri alikuwa na mawasiliano ya huyo mzee.
Nilimuomba jamaa mawasiliano ya huyo mzee, jamaa akanipatia.

Siku hiyohiyo nilimpigia simu huyo mzee kumuambia shida yangu. Mzee alinielekeza nyumbani kwake, akaniambia niende nikafuate dawa.

Siku inayofuata nilienda nyumbani kwa huyo mzee, akanipatia dawa pamoja na maelekezo.

Mwisho aliniambia, nikimaliza kutumia dawa, nitampigia simu kumpa mrejesho.
Hizo dawa nilitumia kwa muda wa wiki moja.
Tangu nimetumia hizo dawa mpaka leo sijawahi kusumbuliwa na vidonda vya tumbo tena!!!

Oyaaaah, nimeteseka sana aisee, vidonda vya tumbo sio poa, visikie tu kwa mwenzako.

Namba za huyo mzee hizi hapa chini.

MZEE MUARABU: 0796368846
Umelipia hili tangazo?
 
Naomba picha ya mashona nguo mkuu, au nielekeze yalivyo.
Untitled-design-2024-07-16T102832.937.jpg
 
Umenichekesha sana mkongwe!!!

Broh, nimeshakunywa hadi mkojo wangu wa asubuhi kwenye harakati za kutafuta uponyaji.
Ndio tukio la ajabu ambalo nimewahi kulifanya kwenye maisha yangu, kwangu hii ni zaidi ya ushirikina. Just imagine, unakojoa mkojo wako, unakinga kwenye kikombe, then unaunywa!
Aisee!!!!
Na bado sikupona.
Sio hivyo tu, ni uchafu wa kiwango cha juu
 
Ukweli mchungu dawa za hospital hazitibu vidonda vya tumbo.. naongea kama mhanga niliyeshuhudia haya ..mitishamba nili-dharau kabla sijaumwa ulcers...yaliponikuta nimetoboka hela kinoma hospital kubwa zaidi ya mbili, nimetumia Milion na point vipimo vya kutumbukiza tumboni +dozi za bei ndefu kwenye pharmacy ila nimekuja kupona kwa elfu 60 tu kwa dawa za asili. Aisee hulazimishwi kumuamini aliyetoa uzi huu ila amini moyo wako na hali uliyonayo.

Mkuu fundinaizer

Naomba experience yako kuhusu hicho kipimo cha kuingiza tumboni... Gharama ni sh ngapi? Kinauma? Kinafikaje ndani ya tumbo?
 
Tuunganishe na aliyekutibu mkuu wahanga tupo wengi
 
Mkuu fundinaizer

Naomba experience yako kuhusu hicho kipimo cha kuingiza tumboni... Gharama ni sh ngapi? Kinauma? Kinafikaje ndani ya tumbo?
Kipimo kinaitwa endoscopy (EGD/OGD)

Gharama yake haipingui laki mbili na nusu

Hakiumi, unapuliziwa spray ya ganzi mdomoni kabla ya kipimo

Kinaingizwa kupitia mdomoni, kina mpira (tube) ina taa kwa ajili ya kuonyesha sehemu za ndani na kamera kwa ajili ya kuona na kuchukua picha na video za sehemu za ndani (utakuwa unashuhudia live kwenye screen kila kinachoendelea kutokea ndani ya mfumo wa chakula)
Atachukua pia sehemu ya nyama (biopsy) kwa ajili ya kufanya vipimo zaidi (histology), majibu ya biopsy ni baada ya siku 7
 
Wabongo mtakufa kwa upumbavu wenu. Kazi kuongea yasiyoeleweka kwa kutokuelewa.

Yaani kweli mtu kajitolea kiroho safi akawaambia njia ya kwenda mjini bado mnauliza kama ina mawe au ya vumbi sijui ya lami na kila siku unaulinza njia.

Mnaouliza vimaswali vya kitoto na namba ipo hapo umepewa kwanini usipige simu upate jibu au kama hujapata jibu ndo uje useme kuwa nimepga sijaambiwa ulichosema wewe.

Pumbavu sana mnaouliza maswali na namba ya mhusika ipo hapo instead uipige usikie. Na ole wenu nijekuona mtu anakuja kuuliza dawa la vidonda vya tumbo humu ndani. Leo sijanywa konyagi.
 
Wabongo mtakufa kwa upumbavu wenu. Kazi kuongea yasiyoeleweka kwa kutokuelewa. Yaani kweli mtu kajitolea kiroho safi akawaambia njia ya kwenda mjini bado mnauliza kama ina mawe au ya vumbi cjui ya lami na kila siku unaulinza njia. Mnaouliza vimaswali vya kitoto na namba ipo hapo umepewa kwanini usipige simu upate jibu au kama hujapata jibu ndo uje useme kuwa nimepga sijaambiwa ulichosema wewe. Pumbavu sana mnaouliza maswali na namba ya mhusika ipo hapo instead uipige usikie. Na ole wenu nijekuona mtu anakuja kuuliza dawa la vidonda vya tumbo humu ndani. Leo sijanywa konyagi.
Unataka watu wasihoji?
 
Habari!?
Eeeeh bwana eeeh, nimeteseka sana aisee.

Nimesumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo kwa zaidi ya miaka 10.
Katika kipindi hicho chote nimetumia dawa nyingi sana, kuanzia dawa za hospitali mpaka dawa za asili. Dawa zote zilishindwa kunisaidia.

Hivi karibuni nilikutana na jamaa fulani eneo fulani, katika kupiga stori mbili tatu, nikamchomekea kuhusu shida yangu ya vidonda vya tumbo. Jamaa akaniambia hata yeye alishakuwaga na hiyo shida kipindi cha nyuma, lakini alishapona.

Aliniambia kuna mzee alimtibu kwa kutumia dawa za asili, bahati nzuri alikuwa na mawasiliano ya huyo mzee.
Nilimuomba jamaa mawasiliano ya huyo mzee, jamaa akanipatia.

Siku hiyohiyo nilimpigia simu huyo mzee kumuambia shida yangu. Mzee alinielekeza nyumbani kwake, akaniambia niende nikafuate dawa.

Siku inayofuata nilienda nyumbani kwa huyo mzee, akanipatia dawa pamoja na maelekezo.

Mwisho aliniambia, nikimaliza kutumia dawa, nitampigia simu kumpa mrejesho.
Hizo dawa nilitumia kwa muda wa wiki moja.
Tangu nimetumia hizo dawa mpaka leo sijawahi kusumbuliwa na vidonda vya tumbo tena!!!

Oyaaaah, nimeteseka sana aisee, vidonda vya tumbo sio poa, visikie tu kwa mwenzako.

Namba za huyo mzee hizi hapa chini.

MZEE MUARABU: 0796368846
Hivi bado Kuna Watanzania wa kutapeliwa kirahisi!?
 
Back
Top Bottom