CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 11,858
- 26,683
Huyo jamaa ni Tapeli wakuu.
Msithubutu kujaribu.
OGOPA MATAPELI.
Msithubutu kujaribu.
OGOPA MATAPELI.
Mwenye vidonda vya tumbo vikaoi rahisi kupata bawasiri.Vina mahusiano!
Sure ni tapeli, mara sijui tuma hela nikafuatilie dawa porini, nahisi mlete mada ndo yeye🤣🤣🤣Nimempiga simu wala sio mzee lakini pia ni tapeli usithubutu
Hakuna kitu ni tapeli. Kama huamini mpigie hatoi dawa bila hela tofauti na mtoa mada alivyotanabaisha hapa kuwa "ukipona utaangalia cha kumpa" 🤣🤣🤣Toeni ushihuda mlio wasiliana na huyo mzee.