Vina mahusiano!Vidonda vya gumbo,Bawasili
Ndio…Vina mahusiano!
Aisee umepona kwahela ndefu sana mimi nimepona kwa buku 5 tu ila yote kwa yote tumshukuru mola tumeponaUkweli mchungu dawa za hospital hazitibu vidonda vya tumbo.. naongea kama mhanga niliyeshuhudia haya ..mitishamba nili-dharau kabla sijaumwa ulcers...yaliponikuta nimetoboka hela kinoma hospital kubwa zaidi ya mbili, nimetumia Milion na point vipimo vya kutumbukiza tumboni +dozi za bei ndefu kwenye pharmacy ila nimekuja kupona kwa elfu 60 tu kwa dawa za asili. Aisee hulazimishwi kumuamini aliyetoa uzi huu ila amini moyo wako na hali uliyonayo.
Kwa taaluma yangu ya miti hii miziz nilivyo iangalia tu nishaijua na ilo gome nimelijua pia
Ukweli mkuu Shangazi yangu muda tunakukuruka mahospitali aliniambia neno moja tu ... We hangaikia tiba ya hospital ukishindwa utaniambia.. wakati huo mm nilikuw sisikilizi habari ya Herbal ... Sasa nilivyotoboka pesa nyingi na madozi bila mafanikio nilimcheki akasema sawa ... Kuna dawa alitumia kipindi nae alikuwa taiti alipewa na mmama anayetibu kwa hizo dawa yuko Tanga na zinafiatwa milimani nikasema haina shida bei gani Tsh 30000 kwa dozi na wewe hali uliyofikia tumia dozi mbili maana hata yeye aliambiwaga hivyo nikasema sawa ... Nilituma kama elfu 70 pamoja na nauli kishingo upande sikuwa na imani sana ila sikuwa na namna ...vikaja vidawa vyenyewe vichache hatari kama ungaunga unachanganya na maziwa dozi siku tatu ... Mkuu huwezi amini nilianza kunywa asubuhi ya kesho yake kiungulia kilikata, tumbo lilikuwa limekuwa gumu nilitoa magesi yani siku ya tano nilikuwa fiti sana ...japo misosi ndo nilipewa mashart nisile mboga ya nyanya , ugali uwe mlaini n.k ukweli imenirudishia tumaini laiti zile hela ningejua huenda ningezifanyia mishe nyingine tu.. kukujibu swali lako dawa ukweli jina au ni mmea gani sijui au ni mchanganyiko wa nini na nini sijui ila ni kama magome yamesagwa kama unga.Ni mitishanba ipi ulitumia?
Bora hiyo 60k ya dozi hospitalini nimedondosha kama milion mzee maaana nilipopata hali ile nimefanya vipimo vingi hadi kugundua hali ya ulcers na hatua iliyokuwepoAisee umepona kwahela ndefu sana mimi nimepona kwa buku 5 tu ila yote kwa yote tumshukuru mola tumepona
Vidonda vya tumbo vinatesa sana mzee, nakuelewa sana.Bora hiyo 60k ya dozi hospitalini nimedondosha kama milion mzee maaana nilipopata hali ile nimefanya vipimo vingi hadi kugundua hali ya ulcers na hatua iliyokuwepo
Nimetumia hivyo vyote mzee, kasoro operesheni, na bado SIKUPONA.Clarithromycin ,tinidazole and pantoprazole are the medications for pesticides ulcer and others may need operation with things like graham patches etc
Stop lies
The problem with this country again is education
You will sufferNimetumia hivyo vyote mzee, kasoro operesheni.
Halazimishwi mtu hapa, anayetaka kukubali nilichosema sawa, asiyetaka sawa pia.
Mimi nimekuja tu kutoa ushuhuda.
Umetumwa nini mzee!?You will suffer
Your kidneys will encounter CKD and we will be here
My prayers are with you
Jibu zuri na lakisomi.Mimi kutumia miti shamba nikapona, haileti tatizo lolote kwenye hii nchi.
Hii ni topic nyingine kabisa, tusiharibu uzi.
Umenichekesha sana mkongwe!!!Shida ya wanaouza miti shamba unakuta na ka ushirikina humo ndani.
Mcheki, akikuletea ugai gai unapita kushoto.Haya ngoja tujalibu isije namba ikawa ya wale itume kwenye namba hii?