Academics &Professional CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

Academics &Professional CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

Huyu jamaa hana vyeti vinavyostahili kufundishia. Huu uhakiki utatusaidia sana. Kama bado anafundisha
 
Hongera Deo, wanakuponda ila wanatamani hii CV ya academic angekua nayo Mbowe... Angepongezwa sana
 
Please deo usihame chama cha mapinduzi,fuata nyayo za wazazi wako.

Wee nawe mbona husomeki na comments zako?[emoji15]
Huyu deo ni ana nuts zilizokatika kichwani ebu save your energy hata kama unawajua ukoo mzima toka mababu wa mababu
 
Wee nawe mbona husomeki na comments zako?[emoji15]
Huyu deo ni ana nuts zilizokatika kichwani ebu save your energy hata kama unawajua ukoo mzima toka mababu wa mababu
Ndugu yangu ni ndugu yangu tu,wewe ndio acha kkubwabwaja huyu jamaa nuts and bolts and fuses ziko sawa kabisa acheni kumsimanga kila mtu ni chizi kiaina.
 
Back
Top Bottom