Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,401
- Thread starter
- #101
anajidharau mwenyeweI think he was trying to prove that he's truly a GREAT THINKER. labda mnachukulia easy saaaaana!!!!
CV imesimama iyooo ujue
Mi mwenyewe nimecheka sanaUnafundisha masomo gani? HiV unajua wanf wako wapo hum...... Nahs wanacheka sana ila hawana namna
usifanye mchezo na bangiAliwahi kuweka all his certificates kule facebook kuanzia cha kuzaliwa mpk mwisho wa kuhangaika kwake...lengo lake halijulikani...tunaishia kusema tu huyu si mzima....imagine unaeka certificates zako facebook.
Pole sana deo kisandu.Ili lazimika iwe hivyo baada ya mzee kufariki.
Hongera kwa Ufaulu huu bwana Deo Kisandu
Watu kama hawa ni wa maana sana mkuu, angalia Mbowe na Kubenea. Wakikutana Bungeni hawa lazima nchi hii itaendelea maana wanatumia karama (Gifts) walizopewa na Mungu na siyo akili ya darasani. Kisandu jitahidi utafika pale unapotaka kufika na kumiliki chama kama wenzako.Da jamaa ameunga unga ile mbaya. Nadhani ukiombwa ulete vyeti vye kielimu unaweza ukajaza kenta.
CCM mbona wapo kama Kisandu ndugu yangu. sema ni wanasiasa wetu hao, maana CCM ilitupatia rais mwenye degree ya dini hivyo huyu atatufaa kabisaNDO WASOMI WA CHADEMA HAO WANAOTAKA TUWAPE NCHI. HOVYOOO KABISA MNASUMBUA WATU KILA UCHAO WAKATI NI MA FAILURES-BY JPM.
Kisandu jitahidi utafika