Gorilla Zoo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 257
- 412
So what???
Ndio maana gani mkuu?Kumbe ndiyo maana...!!
Nimecheka sana ndugu yangu,, Huyu mtu sio mzimaAn empty vessel makes the most noise
Mkuu kuna Uzi alikuwa anasema yeye alikuwa nccr mageuzi na ndo mwanzilishi wa jina la ukawaMwenyewe anajiita mwana CCM "aliyetelekezwa". wewe unampeleka CHADEMA! Vipi wewe!?
Nimegundua nyie kumbe ni ndugu...!!Ndio maana gani mkuu?
Mimi naujua ukoo wake woote,sio watu wa hovyo hovyo.Nimegundua nyie kumbe ni ndugu...!!
Tunalaumu watoto wetu bure baada ya kufeli.We nawe ni mwl wa sekondary kwa induction course ya wiki 8 na unasaihihisha mitihani ya A level.Naona nitakuwa mwehu badala yako nikiendelea kutafakari cv yako.Hii ndio Biograph ya Deogratius Kisandu.
Kuzaliwa: 28 Juni 1980. Siku ya Jumamosi.
1990-1994: Shule ya msingi Sunge, kata ya Busoka, Kahama, Shinyanga. Darasa la i-v.
1995-1996: Shule la msingi kahama, kahama, Shinyanga. Darasa la vi-vii.
1997: Kidato cha kwanza, Magu sekondari, Magu, Mwanza.(Evening Class-ODL).Niliishia Form one tu.
July 1998-April 1999: Mtawa shirika la Ndugu wadogo wa Afrika, Morogoro. Niliishia hatua ya Uaspiranti tu(Utakaji) hivyo sikutunukiwa cheti zaidi ya Kitambulisho.
April 1999-2002: Form i-iv, Kishimba sekondari, Kahama, Shinyanga.(Evening classes-ODL).
Desemba 2002-2003: ASTASHAHADA ya Uandishi wa habari, Chuo cha Royal College of Journalism, Dar es Salaàm.
2004: Mwandishi wa habari wa kujitegemea.
2007: Ku attend mtihani wa Kidato cha sita katika kituo cha kufanyia mtihani cha sekondari ya wasichana Tabora.(Cheti cha kidato cha sita)
April 2007-Juni 2007: Induction course for secondary school Teachers, Chuo cha ualimu Tabora(Leseni ya kufundishia 2007-2012).
2007-2012: Mwalimu, Shule ya sekondari Mwamala, Nzega, Tabora.
2008: Kurudia mtihani wa kidato cha sita (resitter), Kahama sekondari.
2008: Msimamizi Mkuu, mtihani kidato cha Pili, Mogwa sekondari, Nzenga.
April 2009: Msahihishaji wa Mitihani ya Mock kidato cha NNE, kanda ya Magharibi, Tabora.(Somo la kiswahili).
2009-2012: Shahada ya Elimu Maalum(Ndani yake nimesoma Political Science and Public Administration), Chuo Kikuu kishiriki cha Tumaini Makumira cha Sebastian Kolowa(SEKUCo), kwasasa SEKOMU.
2013 up to date: Mwalimu, Shule ya sekondari Mkolani, Mwanza.
2013: Mafunzo maalum ya Gesi asilia na madini, Mwanza, TEITI.
2014: Muwezeshaji Kongamano la KATIBA Mpya, Mwanza.
April 2014: Mafunzo maalum ya mahusiano ya Ndoa na Uchumba, JRC, Mwanza.
2016: Semina ya kusimamia mtihani na kusahisha kidato cha sita, Mwanza.
2016: Msimamizi wa mitihani kidato cha sita, Ngaza sekondari, Mwanza.
2016: Mafunzo maalum ya Imani Takatifu ndani ya Kanisa Katoliki(KATEKESI), Mwanza.
2012-2016: Nimeshiriki semina zote za JUKWAA LA KATIBA kupitia taasisi yetu ya JUKWAA la Mwalimu na Wanafunzi Tanzania (Teachers and Students Forum Tanzania).
Niliposahau nitaleta mwendelezo,
Wenu wa karibu:
Deogratius Nalimi Kisandu.