Academics &Professional CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

Academics &Professional CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

Mbona hujasem ulivyokuwa unawadunga mimba watoto wa watu na kuwatelekeza
 
Shule ya kuunga unga utaweza kuwasaidia nini wanafunzi bwana deo??
 
Kumbe Kisandu yuko shallow namna hii. Nilikuwa najiuliza huyu mjamaa mbona haelewiki kumbe wa kuunga unga hivi. naomba upunguze kuweka post sizizo na tija hapa. Otherwise jiandae na ban any time
 
Mzee walimvuruga CCM halafu wakatupotezea.
Deo hii bendera inakufaa kwenye chama cha ACA
per-bend-black-white-flag-XL-anim.gif

Lakini tutafanya kila tuwezalo urudi kwenye chama cha mababu zako CCM.
 
Ndugu yangu ni ndugu yangu tu,wewe ndio acha kkubwabwaja huyu jamaa nuts and bolts and fuses ziko sawa kabisa acheni kumsimanga kila mtu ni chizi kiaina.

Coz he is crazy mpelekeni milembe. Vitu anavyoandika utadhani katoka usingizini ghafla.
Haya hii post ya resume yake tumsaidieje kwa mfano?
Kwanza mlimchelewesha kuanza la kwanza kaanza na miaka 10 while wenzie umri wa shule ulikuwa miaka. 6-7,
no wonder haeleweki si bure alikuwa weird toka enzi hizo
Una uchungu nae right, Mpeleke akatibiwe si mzima huyu
 
Dah JF Raha sana... Hata ukiwa na stress zinaondoka. Kwa kweli wanaopanga kuifunga JF watatufupishia maisha... ha ha ha ...All the best Kisandu!!
 
Yaani Kwa Elimu yako hiyo.. Mimi naleta vyeti vitatu tu nakutoa ndukiiiiii....


Tabularasa!
 
Naenda kulala sasa maana umenisaidia kutuliza moyo. Nilikuwa naogopa hata kusoma thread zako kwani nilidhani wakatoliki tutaitwa vichaa. Sasa nimejua kuwa, hata kule walikukataa kwa sababu waliona kuwa kuna bolt na nuts flani kichwani zimelegea.
Hata hao walikuajiri kuwa mwalim nadhani ndo maana watoto wamefeli kihivyo.
 
Kuna mambo mengi ya kujadili katika jukwaa kama hili! its wrong and old technique! For some person to personalize
 
hii ni Cv au mukhutasari wa kikao cha ndugu
Ndo matatizo ya elimu za kuungauanga , ana hofu ya inferiority complex maana hata huo ualimu ni wa kuunagunga, lazima cv iwe mbovu na isyieleweka
 
Huyu jamaa aendelee hiv hiv yaani amekuwa burudani tosha hapa JF
 
Back
Top Bottom