imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,456
HII NDIO SAFARI YA MATUMAINI YA KWELI.Ulizaliwa 1980 na 2015 ulitaka kugombea urais..
Kazi kwelikweli!

Aliwahi kuweka all his certificates kule facebook kuanzia cha kuzaliwa mpk mwisho wa kuhangaika kwake...lengo lake halijulikani...tunaishia kusema tu huyu si mzima....imagine unaeka certificates zako facebook.What is your intention for all this...sijakusoma bado unachojaribu kukileta humu JF!someone help plzz
Anataka kugombea uraisi.What is your intention for all this...sijakusoma bado unachojaribu kukileta humu JF!someone help plzz
Mkuu CV mbovu sana++++Hii ndio Biograph ya Deogratius Kisandu.
Kuzaliwa: 28 Juni 1980. Siku ya Jumamosi.
1990-1994: Shule ya msingi Sunge, kata ya Busoka, Kahama, Shinyanga. Darasa la i-v.
1995-1996: Shule la msingi kahama, kahama, Shinyanga. Darasa la vi-vii.
1997: Kidato cha kwanza, Magu sekondari, Magu, Mwanza.(Evening Class-ODL).Niliishia Form one tu.
July 1998-April 1999: Mtawa shirika la Ndugu wadogo wa Afrika, Morogoro. Niliishia hatua ya Uaspiranti tu(Utakaji) hivyo sikutunukiwa cheti zaidi ya Kitambulisho.
April 1999-2002: Form i-iv, Kishimba sekondari, Kahama, Shinyanga.(Evening classes-ODL).
Desemba 2002-2003: ASTASHAHADA ya Uandishi wa habari, Chuo cha Royal College of Journalism, Dar es Salaàm.
2004: Mwandishi wa habari wa kujitegemea.
2007: Ku attend mtihani wa Kidato cha sita katika kituo cha kufanyia mtihani cha sekondari ya wasichana Tabora.(Cheti cha kidato cha sita)
April 2007-Juni 2007: Induction course for secondary school Teachers, Chuo cha ualimu Tabora(Leseni ya kufundishia 2007-2012).
2007-2012: Mwalimu, Shule ya sekondari Mwamala, Nzega, Tabora.
2008: Kurudia mtihani wa kidato cha sita (resitter), Kahama sekondari.
2008: Msimamizi Mkuu, mtihani kidato cha Pili, Mogwa sekondari, Nzenga.
April 2009: Msahihishaji wa Mitihani ya Mock kidato cha NNE, kanda ya Magharibi, Tabora.(Somo la kiswahili).
2009-2012: Shahada ya Elimu Maalum(Ndani yake nimesoma Political Science and Public Administration), Chuo Kikuu kishiriki cha Tumaini Makumira cha Sebastian Kolowa(SEKUCo), kwasasa SEKOMU.
2013 up to date: Mwalimu, Shule ya sekondari Mkolani, Mwanza.
2013: Mafunzo maalum ya Gesi asilia na madini, Mwanza, TEITI.
2014: Muwezeshaji Kongamano la KATIBA Mpya, Mwanza.
April 2014: Mafunzo maalum ya mahusiano ya Ndoa na Uchumba, JRC, Mwanza.
2016: Semina ya kusimamia mtihani na kusahisha kidato cha sita, Mwanza.
2016: Msimamizi wa mitihani kidato cha sita, Ngaza sekondari, Mwanza.
2016: Mafunzo maalum ya Imani Takatifu ndani ya Kanisa Katoliki(KATEKESI), Mwanza.
2012-2016: Nimeshiriki semina zote za JUKWAA LA KATIBA kupitia taasisi yetu ya JUKWAA la Mwalimu na Wanafunzi Tanzania (Teachers and Students Forum Tanzania).
Niliposahau nitaleta mwendelezo,
Wenu wa karibu:
Deogratius Nalimi Kisandu.
Duuh mkuu nani kasema kisandu ni chadema siku hizi ??? Mbona ameeleza juzi hapa kuwa alienda ccm na kupokelewa lushoto huko???NDO WASOMI WA CHADEMA HAO WANAOTAKA TUWAPE NCHI. HOVYOOO KABISA MNASUMBUA WATU KILA UCHAO WAKATI NI MA FAILURES-BY JPM.
Umesahau ulipoenda kugombea Ubunge na badala ya kuomba kura wewe ukawa unachukua wadada wa watu na kuzaa nao. Pia umesahau vyama vya siasa ulivyopitia hadi leo.Hii ndio Biograph ya Deogratius Kisandu.