Academics &Professional CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

Academics &Professional CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

Alafu jalibu upate hata masters mbili utofauti naona CV yako itanoga
 
Hahaa elimu yako ya kuunga unga yaani mpka humu jf unaunga tu pole sana kichwa maji
 
Hii ndio Biograph ya Deogratius Kisandu.

Kuzaliwa: 28 Juni 1980. Siku ya Jumamosi.

1990-1994: Shule ya msingi Sunge, kata ya Busoka, Kahama, Shinyanga. Darasa la i-v.

1995-1996: Shule la msingi kahama, kahama, Shinyanga. Darasa la vi-vii.

1997: Kidato cha kwanza, Magu sekondari, Magu, Mwanza.(Evening Class-ODL).Niliishia Form one tu.

July 1998-April 1999: Mtawa shirika la Ndugu wadogo wa Afrika, Morogoro. Niliishia hatua ya Uaspiranti tu(Utakaji) hivyo sikutunukiwa cheti zaidi ya Kitambulisho.


April 1999-2002: Form i-iv, Kishimba sekondari, Kahama, Shinyanga.(Evening classes-ODL).

Desemba 2002-2003: ASTASHAHADA ya Uandishi wa habari, Chuo cha Royal College of Journalism, Dar es Salaàm.

2004: Mwandishi wa habari wa kujitegemea.

2007: Ku attend mtihani wa Kidato cha sita katika kituo cha kufanyia mtihani cha sekondari ya wasichana Tabora.(Cheti cha kidato cha sita)

April 2007-Juni 2007: Induction course for secondary school Teachers, Chuo cha ualimu Tabora(Leseni ya kufundishia 2007-2012).

2007-2012: Mwalimu, Shule ya sekondari Mwamala, Nzega, Tabora.

2008: Kurudia mtihani wa kidato cha sita (resitter), Kahama sekondari.

2008: Msimamizi Mkuu, mtihani kidato cha Pili, Mogwa sekondari, Nzenga.

April 2009: Msahihishaji wa Mitihani ya Mock kidato cha NNE, kanda ya Magharibi, Tabora.(Somo la kiswahili).

2009-2012: Shahada ya Elimu Maalum(Ndani yake nimesoma Political Science and Public Administration), Chuo Kikuu kishiriki cha Tumaini Makumira cha Sebastian Kolowa(SEKUCo), kwasasa SEKOMU.

2013 up to date: Mwalimu, Shule ya sekondari Mkolani, Mwanza.

2013: Mafunzo maalum ya Gesi asilia na madini, Mwanza, TEITI.

2014: Muwezeshaji Kongamano la KATIBA Mpya, Mwanza.

2016: Semina ya kusimamia mtihani na kusahisha kidato cha sita, Mwanza.

2016: Msimamizi wa mitihani kidato cha sita, Ngaza sekondari, Mwanza.

2016: Mafunzo maalum ya Imani Takatifu ndani ya Kanisa Katoliki(KATEKESI), Mwanza.

2012-2016: Nimeshiriki semina zote za JUKWAA LA KATIBA kupitia taasisi yetu ya JUKWAA la Mwalimu na Wanafunzi Tanzania (Teachers and Students Forum Tanzania).

Niliposahau nitaleta mwendelezo,

Wenu wa karibu:

Deogratius Nalimi Kisandu.
Mwalimu wa Kiswahili huwezi kuandika kiswahili sanifu?

Haaaaaa Pole Bikra Tanzania
 
We jamaa una shahada kweli sidhani kama una credit za o level na principle za a level maana ujinga umekuzidi hiyo shule unafundisha mazero kibao
 
Forget about your CV, haya unaingiza TZS ngap kwa siku?
 
20637974_1411066852324231_8845284756178475800_n.jpg
 
Back
Top Bottom