ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

ACACIA wapinga vikali Matokeo ya Kamati ya pili ya Rais

Wewe hauna akili na hauna uchungu na taifa. Kama si magufuli nani atachukua hatua dhidi ya watumish hewa,vyeti feki,mafisadi,rusha kazin,ajira za undugu,nimaraisi wangapi wamepita walishindwa kufanya anachofanya magufuli? Tunampongeza na mungu amrinde
 
Mkulu ataelewa hiyo lugha?


Mkuu hebu tujaribu kuwa serious kidogo katika mambo muhimu! Hili ni suala ni sawa na damu katika mwili wako.Suala la kiuchumi sio vyema kulifanyia kejeli namna hii.Hata kama kweli Raisi hajui lugha hiyo sasa ndio nini mkuu? Je,wao ACCACIA wanakifahamu Kiswahili alichotumia Raisi ku-address umma?Je,hata kama hakielewi hicho Kiingereza ina maana Serikali nzima haijui hiyo lugha? Je,ni yupi mtu wa maana kati ya anayefahamu kusoma,kukiandika na kukiongea Kiingereza kwa ufasaha lakini asiweze kubaini maudhui katika lugha hiyo na mwingine asiyeweza kukiongea hicho kiingereza kwa ufasaha lakini akawa na akili za kuelewa kuwa kinachoongelewa katika lugha hiyo ni uongo,wizi,uporaji na ujanja ujanja?

Kwa hiyo akina Karamagi,Chenge,Kafumu na wengineo wana thamani sana kwa kuwa wajuzi wa lugha hiyo wakashindwa kung'amua kuwa lugha hiyo ilibeba maudhui ya wizi na utapeli kuliko Raisi Magufuli aliyeweza kuona wizi na utapeli uliobebwa na lugha unayojivunia?
 
Hii kitu nashindwa kuielewa vizuri.. Kama tumepoteza Trilioni 380/=(US $172Bn) kwa muda wote huo sasa kwa nini US $1.2bn ya kuweka bomba la gesi ilitutoa jasho? US $14.7Bn ya bajeti ya 2017/18 inatutoa jasho? US $7.9Bn ya SGR inakuwa shida? US $4Bn ya kuinunua ACACIA hatuna?
Kuna kitu hakiko sawa sehemu..
La muhimu kwa kuwa kesha lianzisha, tumuunge mkono JPM halafu mengine tutamalizana wenyewe baadaye..
 
"Sisi tumefanya biashara zetu kwa utaratibu bora kabisa na kwa kufuata sheria zote za Tanzania".

unataka itumike lugha gani tena kuonyesha wamesajiliwa na mambo mengine???

Nitapoteza muda tu kujibishana na wewe!
 
Hawa nao maandishi mengi waweke hata documents mezani za kupinga tuzione!
 
Sasa hapa nani mkweli?? Serikali inataka chao ila ACACIA wanadai hawadaiwi?? Nahisi kma ICSID inanukia ili ukweli ujulikane
Magu kasema waende huko ICSID halafu warudi tena kama watachimba Madini.Utachimbaje madini Bila ulinzi
 
Unaweza kuta umeibiwa kwenye nyumba yako ukiamua kuwapeleka
wezi mahakamani na BABA YAKO pia anahusika, unaamua kulimaliza
mezani au kwa vikao vya wazee.

Kweli kabisa kiongozi kwani kesi nyingine hata mahakamani wanawaomba mkamalize kifamilia kwanza mkishindana pasipo kukubaliana ndio muende mbele
 
Wanajitoa ufahama hawa .... afu mbona hawakanushi vyote!! mbona hawasemi kama ni kweli hawajasajiliwa + plus mambo mengine mengi ambayo yameongelewa kwenye ripoti! nilitegemea labda wangetoa jibu moja badala ya jingine kama ripoti inavosema matokeo yake wana copy na ku paste statement ngonjera zao zile zile wanazozisema siku zote!!

Hawa ni wa kufilisi tu na waondoke nchini.
Soma kwenye website yao
 
Hata raisi ametoa nafasi ya Dialogue.
Lakini nadhani wajitokeze tu kuwa walikuwa wanatupiga kiasi gani na wako tayari kutu lipa.

Not so simple like that.
Jambo linalohusu ofisi kuu haliwezi kuwa na kuja so raw; lazima lifanyiwe polishing/refining. Mengi yatajulikana taratibu.
 
nadhani acacia bado hawajapokea kwa maandishi ripoti ya kamati ndo maana hawajajibu kila kitu. hata ivo kwa mtazamo wangu itaundwa kamati huru ya kuchunguza tena hayo makinikia kwa kuwa bado makontena yenye mchanga yapo, vinginevyo hii drama haitafika mwisho!

Kama umemsikiliza vizuri mheshimiwa hapa hakuna kamati nyingine itakayoundwa labda kitakachofuata ni tuchukue chetu then waende mana sidhani km wataweza kulipa hzo pesa zote ...... wengi hawataki kuukubali huu ukweli lakni mkuu hata wewe fanya research yako kwa hayo mambo ambayo serikali imeyaongelea kwenye ripoti afu utapata majibu .... tumeibiwa sana mkuu.
 
Kama report ya TRA inaonyesha wamesafirisha container 44000 kwa miaka 19,

halafu sehemu ingine kuna report ya container 61000,
basi itakuwa imekula kwao,waanze kupack tu mabag maana jamaa huwaga harudi nyuma.

Kitendo tu cha mwanyika kuwa alikuwa mwanasheria mkuu,halafu wakampa ajira kubwa inaonyesha kuna mlungula ulitembea hapo,

wakiponyoka hapa ni wanaume kwelikweli
Mkuu huyosiomwanyika wa mwanasheria mkuu..dogommoja TU wakinzanzi huko uwemba ...
 
Back
Top Bottom