"Walichokubaliana ni swala liwasilishwe kwenye bodi then na wao waamue au watoe mapendekezo yao. Ila huku tumeaminishwa kuwa wamekubali. Inatofauti gani na tulivyoambiwa watatulipa trilioni 450 ila mpka sasa wametoa bil 680?"
Hivi ni kweli inawezekana katika muda wote wa majadiliano team ya Barrick haikuwa inafanya briefing yoyote kwenye board ya wakurugenzi na pengine hata board kutoa miongozo mbalimbali huku majadiliano yakiendelea?
Au inamaana jana wakati wa utoaji taarifa na board ya Barrick nawenyewe ndiyo walikuwa wanasiki kwa mara yakwanza yale makubaliano?
Tutafakari............