CHOKAMBOVU
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 856
- 584
Mmmh hapo mwisho hapo ndio komesha akirudia kubisha basi tutongezea kaneno kengineTumia akili wewe mwanamke..
Kodi iliyokuwa ipatikane kwa Makinikia aliyoyazuia toka wakati ule mpaka sasa ni kubwa sana kuliko hata hiyo 600 Bil itakayolipwa (tena mpaka iwe approved na Acacia)..
Bado hapo hatujaambiwa gharama za haya mazungumzo zimetumika kiasi gani...(lazima ni kodi za watanzania zimetumika kwa gharama zote za haya mazungumzo)..
Bado hatujaambiwa zile Kamati feki za Mruma na Ossoro zilitumia kiasi gani...!?
Upo hapo!!
Na wewe unajiita una akili bado..!?
Imbecile.