Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,896
Acacia wamesema wamepokea hiyo agreement kati ya serikali na wawakilishi wa Barrick Gold Corperation, wakishaisoma in details ndipo watatoa maamuzi wa ama kukubaliana na hayo makubaliano au kuyakataa, kwahiyo kazi bado hata hizo $300ml tunazoshangilia tushangilie kwa machale tusije kuaibika huko mbeleni kwasababu Acacia ndio walipaji wanaweza wasilipe, muda ni mwalimu mzuri sana.
Kwa maelezo zaidi soma hapa chini
Jamani kwanini tunadanganyana mchana kweupe?
Huyo mkuu wa Barrick sio bodi na tujue bodi ndio mwamuzi na hiyo bodi inajumuisha accacia na barrick.
Walichokubaliana ni swala liwasilishwe kwenye bodi then na wao waamue au watoe mapendekezo yao. Ila huku tumeaminishwa kuwa wamekubali. Inatofauti gani na tulivyoambiwa watatulipa trilioni 450 ila mpka sasa wametoa bil 680?
Watanzania tupende kusoma tusipende kusikia tu