Acacia: No formal proposal has been put to us for consideration at this point in time

Mwenye mbwa, Barrick has agreed to pay.... As a sign of good faith. Mbwa Acacia wanawaambia until they approve.
Mbwa acacia walisema watatushtaki miga. Mbwa acacia wametoa vitisho mob kwa zile documents zao zilizokuwa zinasambazwa mtandaoni wakisaidiwa na kelele za nyumbu kule Nairobi. Zoote hizi, hazikumzuia tembo kunywa maji. These are last kicks of a dying horse, wanajua walikuwa na mashabiki. You think they will agree Just like that, lazima wawahadae manyumbu, ili tuwashuhudie na kuwafaham kwa mara ya mwisho mwisho mkibeza huu ushindi. At the end of the day, their largest shareholders has bowed down.
They can do nothing about it. Wewe kwanza ulipaswa wahoji, mazee mbona hamjaishtaki serikali mnasema hadi mjifikirie.
Nyumbu ni zero brain, just accept mmeshindwa

Chacha who is the dogo here?

Walitufikisha hapa utawaitaje? Ccm..
 
Hili Acacia walilisema tangu mwanzano ila nilimshangaa jana JPM kuanza kushinikiza kulipwa hizo fedha kabla hata Acacia hawajardhia.

Tatizo la Magu ni kuingiza siasa kwenye kila kitu.

Acacia wanaweza kukubali lakini kwa shariti la kupunguza hicho tunachotarajia kulipwa na kwa shariti la ku-consider namna ya kufidia hasara waliyoipata kwa kuzuia makinikia kwa miezi 7 sasa.

Kama hapa tu wakiwa uso kwa uso na timu yetu wameshindwa kukubaliana kuhusu makinikia unatarajia wakijifungia wao wenyewe ndio itakuwa rahisi?

Hata baadhi ya makubaliano tulioafikiana nao tuombe Mungu wayakubali yote.
Jamani hatua tuliyofikia ni nzuri sana na inastahili kupongezwa. Hizo technicalities zitakuwa sorted out with time. Kikubwa mimi nilichopongeza ni local contractors kufànyà kazi zote, hapo tutafaidi sana kama nchi. Uki sum up makubaliano yote hayo utaona kuwa tupo kwenye +ve side, ndio maana Acacia wamevutà pumzi kukubali hicho walichoafiki Barrick. Hongera JPM.
 
Mimi bado najiuliza kwa hiyo Yale madai kuwa barrick walikua wanatuibia ilikua ni uwongo?
Na je Yale maneno kuwa barrivk inadaiwa matrioni ya kodi nayo ilikua ni uwongo?
Du! Hakika serikali hii kiboko kwa usanii.
Kwani mjadiliano yameisha? Kodi na madai mengine ya kipindi cha nyuma (16yrs) yanaendelea
 
Mwenye mbwa, Barrick has agreed to pay.... As a sign of good faith. Mbwa Acacia wanawaambia until they approve.
Mbwa acacia walisema watatushtaki miga. Mbwa acacia wametoa vitisho mob kwa zile documents zao zilizokuwa zinasambazwa mtandaoni wakisaidiwa na kelele za nyumbu kule Nairobi. Zoote hizi, hazikumzuia tembo kunywa maji. These are last kicks of a dying horse, wanajua walikuwa na mashabiki. You think they will agree Just like that, lazima wawahadae manyumbu, ili tuwashuhudie na kuwafaham kwa mara ya mwisho mwisho mkibeza huu ushindi. At the end of the day, their largest shareholders has bowed down.
They can do nothing about it. Wewe kwanza ulipaswa wahoji, mazee mbona hamjaishtaki serikali mnasema hadi mjifikirie.
Nyumbu ni zero brain, just accept mmeshindwa
You've written fully nonsense. Hujui hata kanuni za mabepari wa madini. Poor you! Nenda kafanye tafiti kwanza kabla haujashangilia hewa
 
Haters gone hate. No need to convert them. Magufuli hadi 2025
 
Kumbe hata Mshana ! This is serious hajui mwenye Kampuni ni Barrick
Mpuuzi huyo akili yake hufanya kazi akiwa anafundisha spiritual.
Ikija siasa you will witness his dumb side.
 
Acha uvivu. Vitu vingine ni basics tu, tafuta mwenyewe.

Hapo unaonesha mweupe.....uwe mkweli acha siasa kudanganya.

Shart la kuheshim sheria haki za raia na katiba....kunatatizo?
 
Mpuuzi huyo akili yake hufanya kazi akiwa anafundisha spiritual.
Ikija siasa you will witness his dumb side.

Wewe mh si umewekewa bandiko la acasia hapo juu......soma ulielewe acha ushabiki wa jujuuu
 
Mwenye mbwa, Barrick has agreed to pay.... As a sign of good faith. Mbwa Acacia wanawaambia until they approve.
Mbwa acacia walisema watatushtaki miga. Mbwa acacia wametoa vitisho mob kwa zile documents zao zilizokuwa zinasambazwa mtandaoni wakisaidiwa na kelele za nyumbu kule Nairobi. Zoote hizi, hazikumzuia tembo kunywa maji. These are last kicks of a dying horse, wanajua walikuwa na mashabiki. You think they will agree Just like that, lazima wawahadae manyumbu, ili tuwashuhudie na kuwafaham kwa mara ya mwisho mwisho mkibeza huu ushindi. At the end of the day, their largest shareholders has bowed down.
They can do nothing about it. Wewe kwanza ulipaswa wahoji, mazee mbona hamjaishtaki serikali mnasema hadi mjifikirie.
Nyumbu ni zero brain, just accept mmeshindwa
Umeandika ki layman sana, biashara haiko hivyo labda kwenye siasa, kwenye biashara kuna mikataba wanaheshimu kila share ya stakeholder hata iwe ndogo kiasi gani, Acacia ndiye mlipaji Acacia akikataa Barrick hata kama ana share kubwa kiasi gani hawezi kutoa pesa zake kuilipia Acacia.
 
Watanzania tusiwe wepesi wa kurubuniwa na wanasiasa, kwangu mimi press conference ya jana ilikuwa ya kisiasa zaidi ya biashara.

Kuna member mmoja alionya tulifanya kosa la msingi kabisa kutowashirikisha Acacia kwenye mazunguzo na ndicho kinachotokea.

Acacia wamesema wamepokea hiyo agreement kati ya serikali na wawakilishi wa Barrick Gold Corperation, wakishaisoma in details ndipo watatoa maamuzi wa ama kukubaliana na hayo makubaliano au kuyakataa, kwahiyo kazi bado hata hizo $300ml tunazoshangilia tushangilie kwa machale tusije kuaibika huko mbeleni kwasababu Acacia ndio walipaji wanaweza wasilipe, muda ni mwalimu mzuri sana.
View attachment 613021
Elimu ndo go tu ndio inakusumbua. Hiyo ya kujifaragua ni kitu cha kawaida lakini ijulikane kama kuna mtu mwenye makosa ni ACACIA wala siyo Barrick maana wao ndio walikamatwa. Barrick hawakuwa wamewahi kukamatwa inawezekana kutokana na uwezo wao katika manipulation "PR."
 
Huyo unaesema anamakosa ndiyo mlipaji

Lakini umesoma bandiko lake? Hapo juu
 
Back
Top Bottom