Acacia: No formal proposal has been put to us for consideration at this point in time

Nisichokielewa mimi ni Magufuli kuwaletea kiburi MCC na tumezipoteza dola million 700 za bure, halafu leo hii kuna jokers wanaodhani sisi wote ni wajinga tuanze kukatika mauno kushangilia maandishi ya dola millioni 300.

Tena kimsingi pesa za mcc zilikuwa zinakwenda direct kwenye miradi ya wananchi na kila mtu ameziona faida za REA, lakini kwa kiburi cha mtu mmoja mradi umefungwa na ndugu zetu wengu wamepoteza ajira.

Dereva simamisha roli nishuke, mimi bora nisubiri Noah yangu kwanza au ile Bomberdier.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] endelea tu usishuke, shekeli ya noa sahau kuna bakshish ya 14,000/=.... Hii naweza kuwalipitia hata watz 100
 
Mniwie radhi ila inaonekana wafia chama mnakuwa kama vile bongo zenu zimejaa funza ama minyoo!
 
View attachment 613021tusiwalaumu sana kuna watu wamelipwa kwa ajili ya kulipamba hili mitandaoni.. Wengine ni watu makini kabisa ila shekeli imewageuza makinikia na kuacha umakini wao
Mwenye mbwa, Barrick has agreed to pay.... As a sign of good faith. Mbwa Acacia wanawaambia until they approve.
Mbwa acacia walisema watatushtaki miga. Mbwa acacia wametoa vitisho mob kwa zile documents zao zilizokuwa zinasambazwa mtandaoni wakisaidiwa na kelele za nyumbu kule Nairobi. Zoote hizi, hazikumzuia tembo kunywa maji. These are last kicks of a dying horse, wanajua walikuwa na mashabiki. You think they will agree Just like that, lazima wawahadae manyumbu, ili tuwashuhudie na kuwafaham kwa mara ya mwisho mwisho mkibeza huu ushindi. At the end of the day, their largest shareholders has bowed down.
They can do nothing about it. Wewe kwanza ulipaswa wahoji, mazee mbona hamjaishtaki serikali mnasema hadi mjifikirie.
Nyumbu ni zero brain, just accept mmeshindwa
 
Nijuavyo Mimi Sheria ikitungwa lazima ifuatwe, inakuwaje Hawa tuingie Mazungumzo ili Sheria Fulani ifuatwe?

Hiyo nafasi mbona haitolewi kote kila ikipitishwa Sheria Mpya?

Swali tu
 
Mwenye mbwa, Barrick has agreed to pay.... As a sign of good faith. Mbwa Acacia wanawaambia until they approve.
Mbwa acacia walisema watatushtaki miga. Mbwa acacia wametoa vitisho mob kwa zile documents zao zilizokuwa zinasambazwa mtandaoni wakisaidiwa na kelele za nyumbu kule Nairobi. Zoote hizi, hazikumzuia tembo kunywa maji. These are last kicks of a dying horse, wanajua walikuwa na mashabiki. You think they will agree Just like that, lazima wawahadae manyumbu, ili tuwashuhudie na kuwafaham kwa mara ya mwisho mwisho mkibeza huu ushindi. At the end of the day, their largest shareholders has bowed down.
They can do nothing about it. Wewe kwanza ulipaswa wahoji, mazee mbona hamjaishtaki serikali mnasema hadi mjifikirie.
Nyumbu ni zero brain, just accept mmeshindwa
Kumbe hata Mshana ! This is serious hajui mwenye Kampuni ni Barrick
 
Hayo hayatuhusu ni wao kwa wao. Umedakia ka vile na wewe una share huko 😀😀😀

Pia JPM anadili na Barrick tu..

Jipige vibao vya uso kwa kutokuwa na uelewa hata wa kutofautisha.. Rudia kideo humu au youtube zimefurika

Magufuli oyeeeeeee
Heee wewe naye wa wapi?
 
"Kuanzia sasa tutaongea na Barrick wenye " 64 share" hatutajadiliana na wenye 0.5 share hao mtaongea nao ninyi wala hatutaki tujue maongezi yenu..." JPM
 
Mwenye mbwa, Barrick has agreed to pay.... As a sign of good faith. Mbwa Acacia wanawaambia until they approve.
Mbwa acacia walisema watatushtaki miga. Mbwa acacia wametoa vitisho mob kwa zile documents zao zilizokuwa zinasambazwa mtandaoni wakisaidiwa na kelele za nyumbu kule Nairobi. Zoote hizi, hazikumzuia tembo kunywa maji. These are last kicks of a dying horse, wanajua walikuwa na mashabiki. You think they will agree Just like that, lazima wawahadae manyumbu, ili tuwashuhudie na kuwafaham kwa mara ya mwisho mwisho mkibeza huu ushindi. At the end of the day, their largest shareholders has bowed down.
They can do nothing about it. Wewe kwanza ulipaswa wahoji, mazee mbona hamjaishtaki serikali mnasema hadi mjifikirie.
Nyumbu ni zero brain, just accept mmeshindwa
Unataka kusemaje labda
 
Naomba tupate ufahamu Toka kwa wabobezi, ivi tokea mchanga usimamishwe mpaka Sasa Kodi tuliyokosa Ni kiasi gani? Pili kamati zilizoundwa zimekula kiasi gani? Na win win situation tutachangia kiasi gani? Na je Kuna nchi gani Africa wamefanikiwa kufanya mikataba ya 50/50 wakavuka vizuri Mambo yakaenda poa...tumeona mashule ..hospital na makampuni yaliyochukua share na serikali kushuka viwango ktk uzalishaji ...Je tuko sahihi ktk hili bila mjadala mrefu was kikatiba kama alivyosema Lissu?
 
Mimi bado najiuliza kwa hiyo Yale madai kuwa barrick walikua wanatuibia ilikua ni uwongo?
Na je Yale maneno kuwa barrivk inadaiwa matrioni ya kodi nayo ilikua ni uwongo?
Du! Hakika serikali hii kiboko kwa usanii.

Nikweli tuliibiwa, tunaibiwa na tutaendelea kuibiwa

Sababu

1. nizile sheria mbovu walizosaini mawaziri wetu kwa siri

2. Wale wabunge wetu wa akili za makinikia na kauli ya ndiyoooooo bungeni wakati huo mnikulu alishiriki....sasa hivi anashangaa nini!

Tujilaumu wenyewe
 
Nisichokielewa mimi ni Magufuli kuwaletea kiburi MCC na tumezipoteza dola million 700 za bure, halafu leo hii kuna jokers wanaodhani sisi wote ni wajinga tuanze kukatika mauno kushangilia maandishi ya dola millioni 300.

Tena kimsingi pesa za mcc zilikuwa zinakwenda direct kwenye miradi ya wananchi na kila mtu ameziona faida za REA, lakini kwa kiburi cha mtu mmoja mradi umefungwa na ndugu zetu wengu wamepoteza ajira.

Dereva simamisha roli nishuke, mimi bora nisubiri Noah yangu kwanza au ile Bomberdier.
Ni bora za 300M za jasho letu kuliko 700M za MCC zinazokuja na masharti. Acha kuwa tegemezi.
 
Back
Top Bottom