Mbona Cyber Crime law yenyewe ina-dictate maisha yako? what difference does it make?Acha nikusaidie mjuaji, Uchaguzi wa Zanzibar na cyber crime laws. Nini maana ya kujiita nchi uhuru kama nchi nyingine inaweza kudictate maisha yenu kupitia msaada?
Mbona Cyber Crime law yenyewe ina-dictate maisha yako? what difference does it make?Acha nikusaidie mjuaji, Uchaguzi wa Zanzibar na cyber crime laws. Nini maana ya kujiita nchi uhuru kama nchi nyingine inaweza kudictate maisha yenu kupitia msaada?
usidanganye mkuu kwa hiyo kama serikali imefanya makubaliano na barick acacia anaingiaje humu au hayo maandishi yao yanakutoa povu ,unamaanisha wakikataa kwenye bodi yao kati ya barick na acacia yata adhiri serikali, hayo ni ya barick na acacia hayo hayahusu serikali na pia wanahaki yakusema hakuna makubaliano yoyote yaliyofanya baina na serikali na siyo uongo ni ukweli mtupu sisi tumemalizana na barick wao wapambane na barick ,tangu majadiliano yameanza sikusikia kuwa acacia na wao wamo kwenye mazungumzoWewe ni mpumbavu wa viwango vyote..
Waliofanya discussion na serikali ni Barrick lakini wenye migodi ni Acacia..
Baada ya makubaliano Barrick wanaipelekea Bodi ya Acacia for approval (unajua maana ya neno Approval au nikusaidie??)..
So hakuna kitakacholipwa mpaka bodi ya Acacia iridhie..
Mwanamke mbishi utafikiri upo Mwezini..!!
acacia hatujafanya nayemazungumzo mkuu acha upotoshaji maandushi ya accacia yasikupoteze mwekekeo aliyesema analipa ni barick na siyo accacia kwa hyo hata akiandika sana sisi tupo na barick na siyo acacia maana hatumtambui kwenye mazungumzo yaliyofanyika nakufikia mwafakaMwambieni Jerry Muro asome hii habari kwenye website ya ACACIA maana hataawaamini mlioileta hapa. Ana mtindio wa ubongo and cannot understand very simple things. Ameona kusubiri mpaka Bil 700 zilipwe kwanza hataonekana MTANZANIA MZALENDO.
Tatizo mna chuki ya kufukuzwa kazi...karbun tu mtaani..Haters wote dawa ni kuwasafisha tu hamna namna nyingine..Ngosha anatakiwa aendelee kugonga nyundo kama kawa
Kwa taarifa yako tu,Barrick wamewaambia tupo hapa kwa kuwa tumewaibia kwenye makinikia au kwenye kodi au kote? GNT yetu wakatazamana. Unajua kilichoendelea? Ni yule aliyeibiwa kumsihi mwizi wakubaliane maana alipiga kelele za mwizi,so kitakachotokea ni waliosikia kelele za mwizi mwizi watashangaa kuona mwizi hachukuliwi hatua. Hapo ndipo mchezo ulipoanza.Kwamba unahisi taasisi ya urais tanzania ni bogus kiasi hicho..kwamba wataita press conference ya kitu ambacho hawana uhakika nacho??..
They know what they are doing. Accacia hawana hiyo jeuri..si kwa raisi huyu. Kama wanajeuri wangeanza kutushtaki kwa kuzuia makinikia si ndiyo mlivyotishwa kipindi kile.
"Wako wapi watu wako eeh, wako wapi watu waako? Pumbavu kabisa!!"Njoo na facts usije na maneno ya kusikia. Trilion 450 ziko wapi?
Tumepatikanna tena,wazungu wajanjaAcacia wamesema wamepokea hiyo agreement kati ya serikali na wawakilishi wa Barrick Gold Corperation, wakishaisoma in details ndipo watatoa maamuzi wa ama kukubaliana na hayo makubaliano au kuyakataa, kwahiyo kazi bado hata hizo $300ml tunazoshangilia tushangilie kwa machale tusije kuaibika huko mbeleni kwasababu Acacia ndio walipaji wanaweza wasilipe, muda ni mwalimu mzuri sana.
View attachment 613092
Kwa maelezo zaidi soma hapa chini
View attachment 613090
View attachment 613097
Jamani kwanini tunadanganyana mchana kweupe?
Huyo mkuu wa Barrick sio bodi na tujue bodi ndio mwamuzi na hiyo bodi inajumuisha accacia na barrick.
Walichokubaliana ni swala liwasilishwe kwenye bodi then na wao waamue au watoe mapendekezo yao. Ila huku tumeaminishwa kuwa wamekubali. Inatofauti gani na tulivyoambiwa watatulipa trilioni 450 ila mpka sasa wametoa bil 680?
Watanzania tupende kusoma tusipende kusikia tu
hapana soma hiyo barua wewe !!!!!!!!!!!! haya madini si ya ccm wala chadema ni ya watanzania kwa ujumla wetu soma hapo halafu tafakari uache kuleta siasa kila mahali nyamafu wewe au ni kiingereza huelewiWewe na chama chako chadema mmebaki mnaona aibu sasa mnajitapa tapa,aibu yenu aibu yenu,magufuri ni Shujaaa wa karne
you are more than pathetic kwan hi barua imeandikwa na mbowe acha ujinga hapa swala ni kuhakikisha chetu kinapatikana na si siasa za kijingaVIBARAKA wa makabaila mnahangaika kila kukicha mnaangukia pua. Shame on you pathetic creatures!
Shame on you Kibaraka. Eti "kuhakikisha chenu kinapatikana"!? Huna hata aibu!? Nyinyi si ndio mlikuwa mstari wa mbele kuwashauri hao Wezi wakaishtaki serikali ya Tanzania katika Mahakama ya kimataifa!? Leo hii mnataka kupata chenu kutoka wapi!?you are more than pathetic kwan hi barua imeandikwa na mbowe acha ujinga hapa swala ni kuhakikisha chetu kinapatikana na si siasa za kijinga
Hahahahahahaha..Anaitwa chokochanel
Shame on you Kibaraka. Eti "kuhakikisha chenu kinapatikana"!? Huna hata aibu!? Nyinyi si ndio mlikuwa mstari wa mbele kuwashauri hao Wezi wakaishtaki serikali ya Tanzania katika Mahakama ya kimataifa!? Leo hii mnataka kupata chenu kutoka wapi!?
Pathetic swine![/QUOTE
swine nimamako na bosi bwako mbwa wa sokoni wewe foool ipo barua acacia wamekataa hayo mambo yoote mnayoyema wamekubali chetu ndio au unaamini madini haya ni ya ccm pimbi wahed filthy dog