Acacia: No formal proposal has been put to us for consideration at this point in time

Acacia: No formal proposal has been put to us for consideration at this point in time

Wakushitaki wapoteze $1bln kwenye kesi wakati wanaweza kukuhonga $300ml tu wakaendelea kukuibia na makontena yao ukawapa.

Hahahaha! Katika speech ya jana..umesikia kuna mtu yeyote ameongelea makontena ya makinikia kuachiwa??? mazungumzo ya disputes yanaendelea..ni mpaka tujue mwisho wa hela yetu ya kodi..

Huu mwaka mtaomba ardhi ipasuke chalii..Pale juu kuna Mwanaume wa hatari
 
Wewe ni mpumbavu wa viwango vyote..
Waliofanya discussion na serikali ni Barrick lakini wenye migodi ni Acacia..
Baada ya makubaliano Barrick wanaipelekea Bodi ya Acacia for approval (unajua maana ya neno Approval au nikusaidie??)..
So hakuna kitakacholipwa mpaka bodi ya Acacia iridhie..
Mwanamke mbishi utafikiri upo Mwezini..!!
Elimu,elimu ,elimu
 
Kwamba unahisi taasisi ya urais tanzania ni bogus kiasi hicho..kwamba wataita press conference ya kitu ambacho hawana uhakika nacho??..

They know what they are doing. Accacia hawana hiyo jeuri..si kwa raisi huyu. Kama wanajeuri wangeanza kutushtaki kwa kuzuia makinikia si ndiyo mlivyotishwa kipindi kile.
Lakini ni taasisi hii hii ya urais Tanzania ndio iliyoridhia mikataba na sheria hizi ambazo leo tunazifanyia marekebisho. Hya mambo hayahitaji ushabiki!
 
Wewe ni mpumbavu wa viwango vyote..
Waliofanya discussion na serikali ni Barrick lakini wenye migodi ni Acacia..
Baada ya makubaliano Barrick wanaipelekea Bodi ya Acacia for approval (unajua maana ya neno Approval au nikusaidie??)..
So hakuna kitakacholipwa mpaka bodi ya Acacia iridhie..
Mwanamke mbishi utafikiri upo Mwezini..!!
Shubaamit!!
 
Ukimsikiliza yule Chairman wa Barrick he was very technical kwenye kuongea kwake..
Halafu Kabudi nae anakuwa kama sio msomi, faida siku zote unapewa kulingana na kiasi cha hisa mtu ulichonacho, kasema Tanzania kuanzia sasa tutakuwa na 16%ya hisa kwenye hii migodi LAKINI kwenye gawio la faida tutagawana nao 50/50.. Wapi hii imewahi kutokea Ulimwenguni..!?
Ngoja nimwite rafiki yangu BAK aje anisaidie.
cocochanel kaa mbali, huwezi, haya mambo ya wasomi.
Tutaendelea kupewa mgao wa 16% mpaka tutakaponunua hisa kufikia 50% ndo mgao utakuwa 50-50. Sasa hiyo 34% kuinunua ndipo tutakapojua makinikia sio unga wa ngano.
 
Acacia wamesema wamepokea hiyo agreement kati ya serikali na wawakilishi wa Barrick Gold Corperation, wakishaisoma in details ndipo watatoa maamuzi wa ama kukubaliana na hayo makubaliano au kuyakataa, kwahiyo kazi bado hata hizo $300ml tunazoshangilia tushangilie kwa machale tusije kuaibika huko mbeleni kwasababu Acacia ndio walipaji wanaweza wasilipe, muda ni mwalimu mzuri sana.

View attachment 613092

Kwa maelezo zaidi soma hapa chini

View attachment 613090

View attachment 613097

Jamani kwanini tunadanganyana mchana kweupe?
Huyo mkuu wa Barrick sio bodi na tujue bodi ndio mwamuzi na hiyo bodi inajumuisha accacia na barrick.

Walichokubaliana ni swala liwasilishwe kwenye bodi then na wao waamue au watoe mapendekezo yao. Ila huku tumeaminishwa kuwa wamekubali. Inatofauti gani na tulivyoambiwa watatulipa trilioni 450 ila mpka sasa wametoa bil 680?

Watanzania tupende kusoma tusipende kusikia tu
Tupende kusoma, tupende kuambiwa na tuache woga na ushabiki. Palipo na kweli tusema, palipo na makosa tusema
 
Ingefaa msikilize na msome vema makubaliano baina ya pande hizo mbili. Bado mchakato unaendelea( it is a process) na ni hali ya kawaida.
Kabla ya kutekelezwa kwa hayo makubaliano ni lazima yapitie ngazi. mbalimbali za mifumo ya Utawala ya Mamlaka husika.
 
Coco kweli kabisa hujaelewa kilichoandikwa hapa?

Jana hukusikiliza hotuba? JPM alisemaje?

Mimi nimesoma kidogo kidunchu kiliwekwa nilipoandika.. na pia kwa sababu jina la kampuni ni hilo.. wakikataliana yao na Barrick ni issue yao sio yetu kuingiza maneno.

Mwisho wa siku Barrick ndio wanawasiliana na Serikali sio hao mnaopenda kuwaongelea..

Nasimamia niliyoandika na sibadili kitu..

Kama unalingine unataka nisome jipya nitag ukirusha.
 
''....Aliyofanya rais ni ya hovyo....Gharama tutakazolipa ni kubwa kuliko mchanga wa Acacia. We will become an economic busket case kama Zimbabwe.... Tumeharibu Mahusiano ya kiuchumi na tutashitakiwa..... "

Tundu Lissu May 30, 2017

Mungu si Athumani, Lissu kapata ahueni ya kushuhudia ule unafiki aliokuwa akiutetea UKISHINDIKANA mchana kweupee!!!
Nchi hii imejaa mazwazwa. Tafuta clip za Lissu kuhusiana na makinikia, soma vizuri taarifa ya jana ambayo inasubiri approval ya board ndio uje na huu upupu wako!
 
Ukimsikiliza yule Chairman wa Barrick he was very technical kwenye kuongea kwake..
Halafu Kabudi nae anakuwa kama sio msomi, faida siku zote unapewa kulingana na kiasi cha hisa mtu ulichonacho, kasema Tanzania kuanzia sasa tutakuwa na 16%ya hisa kwenye hii migodi LAKINI kwenye gawio la faida tutagawana nao 50/50.. Wapi hii imewahi kutokea Ulimwenguni..!?
Ngoja nimwite rafiki yangu BAK aje anisaidie.
cocochanel kaa mbali, huwezi, haya mambo ya wasomi.

hichi kitu ndo hata mimi nimeshindwa kukielewa. share 16? faida 50 %..

jerry muro kuulizia usmart wa kiufundi / technicality haina maana ya kupiga vita.

another observation ni kwamba je overheads / operational costs hazitakuwa kubwa kiasi faida ambayo tunatarajia 50 % ikawa almost nil? tumejiandaa vipi kukabili hili? sio wakati wa sherehe huu. kazi ndio kwanza imeanza @jerrymuro
 
Ukimsikiliza yule Chairman wa Barrick he was very technical kwenye kuongea kwake..
Halafu Kabudi nae anakuwa kama sio msomi, faida siku zote unapewa kulingana na kiasi cha hisa mtu ulichonacho, kasema Tanzania kuanzia sasa tutakuwa na 16%ya hisa kwenye hii migodi LAKINI kwenye gawio la faida tutagawana nao 50/50.. Wapi hii imewahi kutokea Ulimwenguni..!?
Ngoja nimwite rafiki yangu BAK aje anisaidie.
cocochanel kaa mbali, huwezi, haya mambo ya wasomi.

Ha ha haaaa
Upinzani
 
No free lunch in Europe,

Mkuu unafikiri hizi $300ml mnapewa bure, tena ni bora mtu anayekupa masharti ya wazi kuliko anayeficha masharti kwenye mkataba ukija kugundua hasara huwa ni kubwa sana kama tulivyogundua tunaibiwa madini baada ya miaka 18.
masaharti mengine hapana ya mwanaume mwezio mtoa misada kusema mwanaume mpokea misaada ashike ukuta avue chupi ainame ndipo apewe .Hayo hapana.CHADEMA NENDENI MKAZICHUKUE HIZO PESA WENYEWE MKITAKA.
 
Mkuu mleta mada, labda Acacia unaowaongelea wewe ni wale wa pale mtaa wa Ufipa na sio wale wanaofahamika huko duniani.

Mnaishi na roho mbaya, roho za kwanini, halafu mnashangaa kwanini hamuendelei kimaisha.
 
''....Aliyofanya rais ni ya hovyo....Gharama tutakazolipa ni kubwa kuliko mchanga wa Acacia. We will become an economic busket case kama Zimbabwe.... Tumeharibu Mahusiano ya kiuchumi na tutashitakiwa..... "

Tundu Lissu May 30, 2017

Mungu si Athumani, Lissu kapata ahueni ya kushuhudia ule unafiki aliokuwa akiutetea UKISHINDIKANA mchana kweupee!!!
Mkuu, Mungu hamfichi mnafiki. Itabidi yule mgonjwa akishapona, apokonywe vyeo vyote vinavyompa mdomo mitaani.

Keshashindwa kazi kwa mujibu wa vielelezo vya kitaaluma.
 
Hayo hayatuhusu ni wao kwa wao. Umedakia ka vile na wewe una share huko 😀😀😀

Pia JPM anadili na Barrick tu..

Jipige vibao vya uso kwa kutokuwa na uelewa hata wa kutofautisha.. Rudia kideo humu au youtube zimefurika

Magufuli oyeeeeeee

Mhemko mwengine huu

Myself had shares yesterday I pulled a windfall profit of around 4K £

And based on this report the shares are now trading at 212 closing of a bell yesterday,

The art of business and negotiation are too overwhelming for your little understanding of issues as complex as shares, kalia mhemko and udaku, that’s all you are good at.

Sasa I’m giving you another class,

Follow me,

The share price will plunge back again to 190 - 195

I will jump in buy another shares, the board of acacia will sit down and present the findings to us, and I suggest to most of the movie actions portrayed yesterday, you would call agreement will fall flat, in saying that only 50% of the agreement will be implemented.

By the time the acacia and shareholders vote on the proposal, the share will rally again to about 10%, and that’s when I will cash it again.

Wewe Fanya udaku tu.

Just to give a highlight this is another class, udaku aside

The combining lifetime of the cycle of mining deposit only would last 15 years, one of the mining Buzwagi to be precise will be shut down this year 2017.
13240c4c3e148a6b86649de16a445429.jpg

The other two will dwindle in production in the time frame, I explained to you earlier, therefore the agreement will make sense, acacia will ramp productions in the next 2-5 years, that will shorten the lifecycle of the remaining mines to almost half,

Here is the clue as to how, acacia are aiming for revamping production and high yield output

a28dff58611ad28f05a4d0c6f7fcd020.jpg

Therefore in short given the circumstances of the future agreement, please zingatia future, who knows 2-3 years, while they are cooking and eating their dishes, at the time will all come to a surprise, acacia agreement will make sense to them.

I.e we will be left with pits to manage! Watch the space, eka hakiba haya maneno yangu!

By the way the agreement of Understanding as a frame work between the two, was just part of shareholders pressurising acacia and Barrick to come up with something to cheer them on, boy they deliver.

I’m waiting for the future windfall, the price will drop in the next few days, as I highlighted this in many posts.

Please come back with analysis, facts and figures not prolooong udaku na mhemko.

I was very disappointed on part of the negotiators aka professors accepting a token ie. rushwa in their part. I thought they will stick with their tax estimates na figure za ajabu ajabu,

Acacia paid COrporation tax of around 750million US $ in the last six years, the issue wasn’t tax, in matter of fact they prepay tax, ahead of revenue earnings,

The issue na please zingatia maneno yangu, government shareholding in the company, last time I checked the previous government sold out for a peanut.
 
The devil is always in the details. Lakini Barrick ndiyo share holder mkubwa wa Acacia
 
Lakini ni taasisi hii hii ya urais Tanzania ndio iliyoridhia mikataba na sheria hizi ambazo leo tunazifanyia marekebisho. Hya mambo hayahitaji ushabiki!

Nakubaliana nawe 100%

Chakushangaza Tumepata tasisi imara awamu hii ila wabunge wetu waliokuwa wanapiga kelele sana leo hii ndiyo watetezi wakubwa wa hawa wezi..tena kwa vitisho vya kushtakiwa kisa tu tumejiunga na MIGA.
 
Acacia wamesema wamepokea hiyo agreement kati ya serikali na wawakilishi wa Barrick Gold Corperation, wakishaisoma in details ndipo watatoa maamuzi wa ama kukubaliana na hayo makubaliano au kuyakataa, kwahiyo kazi bado hata hizo $300ml tunazoshangilia tushangilie kwa machale tusije kuaibika huko mbeleni kwasababu Acacia ndio walipaji wanaweza wasilipe, muda ni mwalimu mzuri sana.

View attachment 613092

Kwa maelezo zaidi soma hapa chini

View attachment 613090

View attachment 613097

Jamani kwanini tunadanganyana mchana kweupe?
Huyo mkuu wa Barrick sio bodi na tujue bodi ndio mwamuzi na hiyo bodi inajumuisha accacia na barrick.

Walichokubaliana ni swala liwasilishwe kwenye bodi then na wao waamue au watoe mapendekezo yao. Ila huku tumeaminishwa kuwa wamekubali. Inatofauti gani na tulivyoambiwa watatulipa trilioni 450 ila mpka sasa wametoa bil 680?

Watanzania tupende kusoma tusipende kusikia tu

Hatuongei na Mbwa bali Mwenye Mbwa.
 
Mwambieni Jerry Muro asome hii habari kwenye website ya ACACIA maana hataawaamini mlioileta hapa. Ana mtindio wa ubongo and cannot understand very simple things. Ameona kusubiri mpaka Bil 700 zilipwe kwanza hataonekana MTANZANIA MZALENDO.
 
Back
Top Bottom