Acacia: No formal proposal has been put to us for consideration at this point in time

Acacia: No formal proposal has been put to us for consideration at this point in time

Mungu amlaani aliyewanyima watanzabia elimu pia amlaani anayeendelea kuwanyima elimu kwa makusudi ili kuendelea kuwatawala
 
Ukimsikiliza yule Chairman wa Barrick he was very technical kwenye kuongea kwake..
Halafu Kabudi nae anakuwa kama sio msomi, faida siku zote unapewa kulingana na kiasi cha hisa mtu ulichonacho, kasema Tanzania kuanzia sasa tutakuwa na 16%ya hisa kwenye hii migodi LAKINI kwenye gawio la faida tutagawana nao 50/50.. Wapi hii imewahi kutokea Ulimwenguni..!?
Ngoja nimwite rafiki yangu BAK aje anisaidie.
cocochanel kaa mbali, huwezi, haya mambo ya wasomi.
Sasa Hugo cocochanel ndio mwenye iq kubwa pale lumumba
 
Acacia wamesema wamepokea hiyo agreement kati ya serikali na wawakilishi wa Barrick Gold Corperation, wakishaisoma in details ndipo watatoa maamuzi wa ama kukubaliana na hayo makubaliano au kuyakataa, kwahiyo kazi bado hata hizo $300ml tunazoshangilia tushangilie kwa machale tusije kuaibika huko mbeleni kwasababu Acacia ndio walipaji wanaweza wasilipe, muda ni mwalimu mzuri sana.

View attachment 613092

Kwa maelezo zaidi soma hapa chini

View attachment 613090

View attachment 613097

Jamani kwanini tunadanganyana mchana kweupe?
Huyo mkuu wa Barrick sio bodi na tujue bodi ndio mwamuzi na hiyo bodi inajumuisha accacia na barrick.

Walichokubaliana ni swala liwasilishwe kwenye bodi then na wao waamue au watoe mapendekezo yao. Ila huku tumeaminishwa kuwa wamekubali. Inatofauti gani na tulivyoambiwa watatulipa trilioni 450 ila mpka sasa wametoa bil 680?

Watanzania tupende kusoma tusipende kusikia tu
Mambo yashakuwa magumu
Wamesema hawana uwezo wa kuzilipaa!!
Mamaaaeeeee
 
Hayo hayatuhusu ni wao kwa wao. Umedakia ka vile na wewe una share huko 😀😀😀

Pia JPM anadili na Barrick tu..

Jipige vibao vya uso kwa kutokuwa na uelewa hata wa kutofautisha.. Rudia kideo humu au youtube zimefurika

Magufuli oyeeeeeee
Hayaa wamegoma kulipaaa
Una lingine la kusema?!
 
Jamani kwanini tunadanganyana mchana kweupe?
Huyo mkuu wa Barrick sio bodi na tujue bodi ndio mwamuzi na hiyo bodi inajumuisha accacia na barrick.

Walichokubaliana ni swala liwasilishwe kwenye bodi then na wao waamue au watoe mapendekezo yao. Ila huku tumeaminishwa kuwa wamekubali. Inatofauti gani na tulivyoambiwa watatulipa trilioni 450 ila mpka sasa wametoa bil 680?

Watanzania tupende kusoma tusipende kusikia tu
index.jpg
 
Ukimsikiliza yule Chairman wa Barrick he was very technical kwenye kuongea kwake..
Halafu Kabudi nae anakuwa kama sio msomi, faida siku zote unapewa kulingana na kiasi cha hisa mtu ulichonacho, kasema Tanzania kuanzia sasa tutakuwa na 16%ya hisa kwenye hii migodi LAKINI kwenye gawio la faida tutagawana nao 50/50.. Wapi hii imewahi kutokea Ulimwenguni..!?
Ngoja nimwite rafiki yangu BAK aje anisaidie.
cocochanel kaa mbali, huwezi, haya mambo ya wasomi.
Jana niliuliza swali linalofanania hili; akatokea mtu akajibu kizembe tu kwamba eti 7bu madini ni yetu!
 
Wewe na chama chako chadema mmebaki mnaona aibu sasa mnajitapa tapa,aibu yenu aibu yenu,magufuri ni Shujaaa wa karne

Ndugu weka akiba ya maneno. Hakuna jipya tutakalo pata. Kwa taarifa yako wamekubaliana kwenye masuala ambayo Barrick wanajua hayana tija yyte kwa tanzania na mengine hayatekelezeki. YETU MACHO
 
Ukimsikiliza yule Chairman wa Barrick he was very technical kwenye kuongea kwake..
Halafu Kabudi nae anakuwa kama sio msomi, faida siku zote unapewa kulingana na kiasi cha hisa mtu ulichonacho, kasema Tanzania kuanzia sasa tutakuwa na 16%ya hisa kwenye hii migodi LAKINI kwenye gawio la faida tutagawana nao 50/50.. Wapi hii imewahi kutokea Ulimwenguni..!?
Ngoja nimwite rafiki yangu BAK aje anisaidie.
cocochanel kaa mbali, huwezi, haya mambo ya wasomi.

By the way, lini umesikia Acacia wamepata faida? CAG kwenye taarifa yake anasema kila mwaka wana declare lose! Hiyo faida ya kugawana ni ipi kama sio hasara?

Na kama tunagawana 50 kwa 50, wana hisa wa Acacia na Barrick wanagawana nini? Yaani tupate 50% halafu tena tupate mgao wa hisa zetu 16% na kodi juu, na mrabaha n.k! Kweli??

Ngaja tusubiri tuone haya maajabu
 
Mniwie radhi ila inaonekana wafia chama mnakuwa kama vile bongo zenu zimejaa funza ama minyoo!
Ukishakuwa ccm nahisi kuna fuse kwenye muduleoblangata inakata mawasiliano hivyo kupoteza mawasiliano kati ya akili na ubongo.
 
Hayo hayatuhusu ni wao kwa wao. Umedakia ka vile na wewe una share huko 😀😀😀

Pia JPM anadili na Barrick tu..

Jipige vibao vya uso kwa kutokuwa na uelewa hata wa kutofautisha.. Rudia kideo humu au youtube zimefurika

Magufuli oyeeeeeee
Kama akili yako ni kama za wengine asilimia zaidi ya hamsini ya watanzania kwanini ccm isiendelee kututawala miaka mingine 50?
 
Wewe na chama chako chadema mmebaki mnaona aibu sasa mnajitapa tapa,aibu yenu aibu yenu,magufuri ni Shujaaa wa karne
Kama nyinyi mnavyoona aibu na fedheha kuona dhamira yenu ya kutoa uhai wa anaewaambia umbumbumbu wenu kushindikana.
Tena tabasamu lake linawachoma usiku na mchana. Shubaaaaaaaamit
 
Stupidity is like bumping into a wall all the time. After a while you get tired of it and try to look the situation over and see if there’s a doorway somewhere. I think most people eventually do look for the doorway and stop bumping into the wall.
Stupidity is you
 
acacia hatujafanya nayemazungumzo mkuu acha upotoshaji maandushi ya accacia yasikupoteze mwekekeo aliyesema analipa ni barick na siyo accacia kwa hyo hata akiandika sana sisi tupo na barick na siyo acacia maana hatumtambui kwenye mazungumzo yaliyofanyika nakufikia mwafaka
Hii hamu ya kupita kiasi ya kupata fedha naona inafanya akili za watu zisifanye kazi sawasawa. Tungepewa matrillion yote sasa ingekuwaje??
 
you are more than pathetic kwan hi barua imeandikwa na mbowe acha ujinga hapa swala ni kuhakikisha chetu kinapatikana na si siasa za kijinga
?
Click to expand... hayo mambo hayajaamuliwa,wacha ubishi,nenda kwenye website ya acaccia,tena wamesema hata hizo 300 milioni dola hawajawafiki,kutugaiya.wacha kichwa ngumu.wacha ujinga huo
 
Tumia akili wewe mwanamke..

Kodi iliyokuwa ipatikane kwa Makinikia aliyoyazuia toka wakati ule mpaka sasa ni kubwa sana kuliko hata hiyo 600 Bil itakayolipwa (tena mpaka iwe approved na Acacia)..

Bado hapo hatujaambiwa gharama za haya mazungumzo zimetumika kiasi gani...(lazima ni kodi za watanzania zimetumika kwa gharama zote za haya mazungumzo)..

Bado hatujaambiwa zile Kamati feki za Mruma na Ossoro zilitumia kiasi gani...!?

Upo hapo!!
Na wewe unajiita una akili bado..!?

Imbecile.
Achana na huyo bwege kwani type hiyo yeye anaelewa 660 Bn ni nyingi kuliko 425 Tr, ndo akili yake inavyomtuma...!!
 
Back
Top Bottom