Acacia: No formal proposal has been put to us for consideration at this point in time

Acacia: No formal proposal has been put to us for consideration at this point in time

Hela za MCC zilikuwa na mashartui ya kisiasa.ETi sijui uchaguzi wa zanzibar sijui ruhusuni ushoga na usagaji na nini.Tulikataa masharti yao wakaondoka na pesa zao.MAMBO YA kutaka hadi tukubali ushoga ndio tupate tulikataa na hatutaki wabaki nazo
TRUMP HATAKICUSHOGA KABISA ANAENDELEA KUKAZA UZI HILI LITAISHA LABDA LA ZANZIBAR BADO LINASUMBUA. HATA SISI TUNAELEWA NI TETE. JUZI WATAWALA WA ZAMANI WA ZANZIBAR WAMEKUJA HUKU.
 
Aisee inabidi lisu aende mahakamani ni wheelchair haiwezekani tukavunja mkataba Wã MIGA
 
View attachment 612993

Jamani kwanini tunadanganyana mchana kweupe?
Huyo mkuu wa Barrick sio bodi na tujue bodi ndio mwamuzi na hiyo bodi inajumuisha accacia na barrick.

Walichokubaliana ni swala liwasilishwe kwenye bodi then na wao waamue au watoe mapendekezo yao. Ila huku tumeaminishwa kuwa wamekubali. Inatofauti gani na tulivyoambiwa watatulipa trilioni 450 ila mpka sasa wametoa bil 680?

Watanzania tupende kusoma tusipende kusikia tu
Nani kamdanganya nani?
Mbona mnapenda unafiki msilize hata rais hotuba yake alisema juu ya kupelekwa kwa mapendekezo hayo kwenye bodi yao
Mbona mnapenda unyoko kila wakati ?
Ni kama unashadadia hivi
Yaani hata uzalendo huna
Kwenu wapi brother?
Umeniharibia siku kabisa aise
 
Kama rais magufuli amewasingizia barick wameiba sh trion 484,atashindwa kumsingizia mbowe kuwa anadaiwa na shirika la nyumba?
 
Stupidity cannot be cured. Stupidity is the only universal capital crime; the sentence is death. There is no appeal, and execution is carried out automatically and without pity
Mwenye mbwa, Barrick has agreed to pay.... As a sign of good faith. Mbwa Acacia wanawaambia until they approve.
Mbwa acacia walisema watatushtaki miga. Mbwa acacia wametoa vitisho mob kwa zile documents zao zilizokuwa zinasambazwa mtandaoni wakisaidiwa na kelele za nyumbu kule Nairobi. Zoote hizi, hazikumzuia tembo kunywa maji. These are last kicks of a dying horse, wanajua walikuwa na mashabiki. You think they will agree Just like that, lazima wawahadae manyumbu, ili tuwashuhudie na kuwafaham kwa mara ya mwisho mwisho mkibeza huu ushindi. At the end of the day, their largest shareholders has bowed down.
They can do nothing about it. Wewe kwanza ulipaswa wahoji, mazee mbona hamjaishtaki serikali mnasema hadi mjifikirie.
Nyumbu ni zero brain, just accept mmeshindwa


Stupidity cannot be cured. Stupidity is the only universal capital crime; the sentence is death. There is no appeal, and execution is carried out automatically and without pity. Stupidity is much the same all the world over. A stupid person's notions and feelings may confidently be inferred from those which prevail in the circle by which the person is surrounded. Not so with those whose opinions and feelings are an emanation from their own nature and faculties.

we have a lot of issues, dirty issues which need our attention our eye to detail, our commitment, our togetherness, our humaneness, our brain, our solidarity and not a one man show who is forcing too hard in a rough road, Look here my friend, Albert Einstein alishawahi kusema@ existing problems will never be solved kwa kutumia akili zilezile na watu walewale waliokuwa sehemu ya matatizo haya@ Tuko sehemu ambayo tunaribia kuingizwa kwenye vice. USD 300MIO size yake ni kilio and not smile. This is your breakfast.
 
hiv watza mpo kukosoa tu. Mbona hamtoi njia mbadala? kila mtu mjuaji wa mambo haya.
 
*MAKINIKIA YALETA NEEMA TANZANIA*

Barrick Gold Mine wamekubali masharti yote yaliyomo kwenye sheria mpya za madini na zimekuwa nguzo ya mazungumzo.
Wamekubali kutupa zile 16% za bure.
Faida tunagawana 50/50
Fedha zao zote za mauzo zitawekwa Kwenye benki zetu hapa nchini.
Ofisi zao za South Africa na London zihamishiwe Mwanza.

Serikali itakuwa na wawakilishi kwenye board yao ya wakurugenzi.
Tender zote zitafanywa na kampuni za wazawa Tanzania.

Hakuna tena wafanyakazi wa mikataba, ila za kudumu na hakuna kukaa makambini.Watajenga barabara mpaka migodini kwao.

Succession plan ya ajira lazima iwepo ili kukabithi kwa wazawa.
Kujenga maabara kubwa ya kisasa ya kupima makinikia na kiwanda pia.
Serikali itakuwa na umiliki wa Madini yote isipokuwa dhahabu, fedha na shaba.
Mgao wa faida ni 50/50 kati ya Barrick na Serikali, Japo tayari tutakuwa na ile 16%.
Kesi zote zitafanyika hapahapa Tanzania na sio nje ya nchi tena ICSD - MIGA.
Kuhusu kodi wameanza na advance ya Dola million 300 na mengine mazungumzo yataendelea.
Hongereni sana wapiganaji wazalendo kwa kupaza sauti zenu na Maandishi, Huu ni ushindi wa watanzania wote. Msisikie vitisho vya ndugu zetu tuwavulimie tu na tusonge mbele.

By MWAKILISHI
 
Aisee inabidi lisu aende mahakamani ni wheelchair haiwezekani tukavunja mkataba Wã MIGA
NA ZITTO KABWE

Historia ni Elimu tosha Kabisa. Mwaka 2006 Serikali ilifikia makubaliano na kampuni ya Barrick Gold kuilipa $7m kama kuonyesha ' good faith' katika kulipa kodi ya Mapato. Ugomvi ulikuwa nini? Sisi Upinzani tulikuwa tumeanza kuhoji kuhusu vivutio vya kodi walivyopewa makampuni ya Madini. Kuna kivutio kiliitwa ' 15% allowance on an unredeemed capital expenditure '. Kwa kivutio hiki pekee Tanzania ilikuwa imepoteza mapato ya $883m. Tukapozwa na $7m. Buzwagi ikaibuka, Kamati ya Bomani ikaundwa na baada ya sheria mpya Ndio tukafanikiwa kuondoa kivutio hicho.
Leo tena tumepewa good faith $300m. Historia inajirudia. $194bn zimeyeyuka. Tumelambishwa pipi.
Watanzania, siku zote CCM huangalia maslahi yake na sio maslahi ya Nchi yetu. Kelele zote zile za vita ya uchumi tumeambulia 0.005% ya Noah tulizoahidiwa. Wamefinywa kidogo na Ndege iliyozuiwa, wameufyata.

Watanzania tuamke.
 
Hela za MCC zilikuwa na mashartui ya kisiasa.ETi sijui uchaguzi wa zanzibar sijui ruhusuni ushoga na usagaji na nini.Tulikataa masharti yao wakaondoka na pesa zao.MAMBO YA kutaka hadi tukubali ushoga ndio tupate tulikataa na hatutaki wabaki nazo
No free lunch in Europe,

Mkuu unafikiri hizi $300ml mnapewa bure, tena ni bora mtu anayekupa masharti ya wazi kuliko anayeficha masharti kwenye mkataba ukija kugundua hasara huwa ni kubwa sana kama tulivyogundua tunaibiwa madini baada ya miaka 18.
 
Malimbukeni na washamba wanashangilia kama mazuzu
Nikikumbuka chenji ya rada sina hamu kabisa na ccm.

Nitaiamini ccm siku tukitangaziwa kila Mtanzania atapewa mgawo wake hata bukubuku hapo ndio naweza kuwaelewa, lakini hata hilo halotowezekana wazee wetu wastaafu wa jumuiya ya Africa mashariki mpaka leo wamedhurumiwa na ccm, wakati Kenya na Uganda wastaafu wslishalipwa na malkia alitowa pesa kwa nchi zote 3 cash.
 
Wewe muha zitto mbona akili yako finyu kila kitu unakuwa tofauti na serikali badala ya kupongeza hatua iliyofikia unaleta ujinga wako yale maendeleo unayoyafulaia kule kigoma yalitoka kwa baba yako ?
 
Mwenye kampuni ambaye Ni majority shareholder kakubali. Sasa kwa ufinyu wa akili yenu board ambao Ni waajiriwa watamgomea mmiliki?
Biashara sio siasa kwamba umepata kura nyingi basi kila kitu unaamua wewe.
 
Hili limefanywa na watanzania wenye mawazo ya watanzania wengi, mikataba iliyopita ilifanywa na watanzania wenye mawazo ya matumbo yao..., Mkuu aende mbali....kutaifisha mali za wote waliojinufaisha kwa mikataba mibovu, hilo ndio kututendea haki watanzania...
 
Lazima nimpongeze Mheshimiwa Rais kwa jambo hili la kishujaa na Kihistoria.
Hongera Mheshimwa Rais wa Jamhuri ya Muingano wa Tanzania,
Ndugu, John Pombe Magifuli.
 
Back
Top Bottom