We mzee ni jamii ya Le mutuz..so stupid!Nyoooo
Unajisumbua bure mkuu, coco huwa haelewi, kuna watu huwa wanajitoa ufahamu lakini siyo huyu. Coco ni zero brain!Coco kweli kabisa hujaelewa kilichoandikwa hapa?
Another qualified empty-headed imbecile..!!Wewe ni mjinga....unatema big g kwa karanga za kuonjeshwa...kwa nin watu wanasoma kwa gharama kubwa unajua wamelenga nin....think beyond the reality...hzo hela ni ndog sana in long run plan
Bavicha mnalia nini?Wewe ni mpumbavu wa viwango vyote..
Waliofanya discussion na serikali ni Barrick lakini wenye migodi ni Acacia..
Baada ya makubaliano Barrick wanaipelekea Bodi ya Acacia for approval (unajua maana ya neno Approval au nikusaidie??)..
So hakuna kitakacholipwa mpaka bodi ya Acacia iridhie..
Mwanamke mbishi utafikiri upo Mwezini..!!
Mwenye kampuni ambaye Ni majority shareholder kakubali. Sasa kwa ufinyu wa akili yenu board ambao Ni waajiriwa watamgomea mmiliki?View attachment 612993
Jamani kwanini tunadanganyana mchana kweupe?
Huyo mkuu wa Barrick sio bodi na tujue bodi ndio mwamuzi na hiyo bodi inajumuisha accacia na barrick.
Walichokubaliana ni swala liwasilishwe kwenye bodi then na wao waamue au watoe mapendekezo yao. Ila huku tumeaminishwa kuwa wamekubali. Inatofauti gani na tulivyoambiwa watatulipa trilioni 450 ila mpka sasa wametoa bil 680?
Watanzania tupende kusoma tusipende kusikia tu
Mfumo wa uendeshwaji wa serikali si wa wazi, anko alikataa mfumo wa uendeshwaji wa serikali wazi, kwa maana hiyo watzania tutakuwa tukipewa taarifaView attachment 612993
Jamani kwanini tunadanganyana mchana kweupe?
Huyo mkuu wa Barrick sio bodi na tujue bodi ndio mwamuzi na hiyo bodi inajumuisha accacia na barrick.
Walichokubaliana ni swala liwasilishwe kwenye bodi then na wao waamue au watoe mapendekezo yao. Ila huku tumeaminishwa kuwa wamekubali. Inatofauti gani na tulivyoambiwa watatulipa trilioni 450 ila mpka sasa wametoa bil 680?
Watanzania tupende kusoma tusipende kusikia tu
Kwa akili yako wewe unadhani hiyo board ni rubber stamp?Mwenye kampuni ambaye Ni majority shareholder kakubali. Sasa kwa ufinyu wa akili yenu board ambao Ni waajiriwa watamgomea mmiliki?
U are being delusional honey😀Hayo hayatuhusu ni wao kwa wao. Umedakia ka vile na wewe una share huko 😀😀😀
Pia JPM anadili na Barrick tu..
Jipige vibao vya uso kwa kutokuwa na uelewa hata wa kutofautisha.. Rudia kideo humu au youtube zimefurika
Magufuli oyeeeeeee
Hata mimi hapo sijaelewa kabisa. Uwe na share16%, halafu faida mgawane 50/50? Kweli maelezo zaidi yanahitajika hapo!!Ukimsikiliza yule Chairman wa Barrick he was very technical kwenye kuongea kwake..
Halafu Kabudi nae anakuwa kama sio msomi, faida siku zote unapewa kulingana na kiasi cha hisa mtu ulichonacho, kasema Tanzania kuanzia sasa tutakuwa na 16%ya hisa kwenye hii migodi LAKINI kwenye gawio la faida tutagawana nao 50/50.. Wapi hii imewahi kutokea Ulimwenguni..!?
Ngoja nimwite rafiki yangu BAK aje anisaidie.
cocochanel kaa mbali, huwezi, haya mambo ya wasomi.
Acacia Seeking "Clarification" On Tanzania Framework Agreement.
19 October, 2017
LONDON (Alliance News) - Acacia Mining PLC on Thursday said that it is seeking further clarification on a framework agreement for a new partnership with the government of Tanzania.
The company noted a press conference in Tanzania held by majority shareholder Barrick Gold Corp, which holds a 63.9% stake in London-listed Acacia and has been negotiating with the Tanzanian government on Acacia's behalf in recent months.
Earlier Thursday, Reuters reported that Barrick had agreed a deal with the Tanzanian government for a 16% stake in three gold mines operated by Acacia. Barrick Chairman John Thornton told a news conference in the Tanzania, that Barrick had also agreed to pay Tanzania USD300 million, or GBP227.6 million, as a show of good faith, Reuters said.
Acacia said Thursday it has received a copy of the framework agreement Barrick had detailed, and is seeking further clarification. It stressed that "no formal proposal" has been put to it at this time, and any proposal agreed in principal by Barrick would need its approval.
The Tanzanian government in early March banned all exports of metal concentrate out of the country in an effort to keep processing activities in the country.
FTSE 250-listed Acacia has seen around GBP1.33 billion knocked off its valuation since the beginning of March, which stood at around GBP878.8 million on Thursday.
Acacia has all three of its producing gold mines within Tanzania, namely Buzwagi, Bulyanhulu and North Mara.
Shares in Acacia were up 17% at 212.97 pence Thursday.
Kuwa mwenyekiti sio sawa na kuwa mwenye kampuni jitambueMwenye kampuni ambaye Ni majority shareholder kakubali. Sasa kwa ufinyu wa akili yenu board ambao Ni waajiriwa watamgomea mmiliki?
WATU WENGINE MNATAKIWA KUTUKANWA ACCACIA WANAJUANA NA BARICK SISI TUNA DEAL NA BARICK UKO WAPI UNAYEJIFANYA UNAJUA KILA KTU WAKATI SYO MJUMBE WA MAZUNGUMZO ACHANI UPUMBAVU KUPOTOSHA KILA JAMBO LINALOFANYWA NA SERIKALI UMEDANGANYWA NA NANI MJINGA WEWE LETE UKWELI WAKO NA VIKAO HALALI MLIVYOKAA KUTHIBITISHA UKWELI WAKO LA SIVYO FUNGA DOMO LAKOView attachment 612993
Jamani kwanini tunadanganyana mchana kweupe?
Huyo mkuu wa Barrick sio bodi na tujue bodi ndio mwamuzi na hiyo bodi inajumuisha accacia na barrick.
Walichokubaliana ni swala liwasilishwe kwenye bodi then na wao waamue au watoe mapendekezo yao. Ila huku tumeaminishwa kuwa wamekubali. Inatofauti gani na tulivyoambiwa watatulipa trilioni 450 ila mpka sasa wametoa bil 680?
Watanzania tupende kusoma tusipende kusikia tu