Abood bado hawajabadilika hadi sasa

Abood bado hawajabadilika hadi sasa

Wewe Siyo Mnafki Abood Bure Kabisa Ni Rangi Tu
BM Ndiyo Luxury Wanajaribu Muda Hakuna Kupakia Watu Wasio Na Seat
BM sio kampuni ya muda kama ilivyo Abood ila wapo very professional,sina Hisa kwao hao BM ila ukweli ni kusema,kwenye huduma wanajitahidi mnoo na ndio maana kwa huku kanda ya kaskazini,wanasumbua sana,hata zili zinazoanzia Dar wanazitia jambajamba sana kampuni za mabasi kongwe zilizozoeleka
 
Mtakwenda Kwa Mafuta Ya Kidebe Mpaka Singida Ndiyo Wajaze, Buses Zao Zote Za Kwenda Mara,Tabora, Bukoba Mnapoteza Muda Njiani Kwaajili Ya Kukosa Mafuta
 
BM sio kampuni ya muda kama ilivyo Abood ila wapo very professional,sina Hisa kwao hao BM ila ukweli ni kusema,kwenye huduma wanajitahidi mnoo na ndio maana kwa huku kanda ya kaskazini,wanasumbua sana,hata zili zinazoanzia Dar wanazitia jambajamba sana kampuni za mabasi kongwe zilizozoeleka
Mimi Nipo Hapa Morogoro Huyu Abood Ni Ubabaishaji Ana Vishoka Wengi Kuhadaa Abiria Lakini Huduma Bure Kabisa Yaani Yeye Anaweza Dar Es Salaam ~Morogoro
Mikoa Mingine Shida Tupu
 
Wakuu habari za asubuhi

Abood ameleta mabasi mengi tu lakini hadi sasa hawataki kubadilika na tabia zao za ajabu ajabu.
Leo na safiri na Bus lao la Abood kutoka Tunduma kwenda Dar lakini cha kushangaza linabeba abiria Kama daradara njiani gari imejaa lakini konda bado anapakia watu njiani viti vyote vimejaa Hadi watu wengine wamekaa kwenye korido na wengine wamesimama.

Lakini pia siti uliyokatiwa ticket siajabu usikae unaambiwa kaa popote pale mjiriekebishe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
sasa nduga yangu hapa hakuna msada kuanzia tunduma mpaka dar polisi wako wengi jiani kwann usiwambie?au ukchukua namba za sumatara ukawapigia mbona ziko humo juu ya kiti chako ulichokalia ebu angaza utazio kisha wapigie au watu ujumbe mfupi
 
Mimi Nipo Hapa Morogoro Huyu Abood Ni Ubabaishaji Ana Vishoka Wengi Kuhadaa Abiria Lakini Huduma Bure Kabisa Yaani Yeye Anaweza Dar Es Salaam ~Morogoro
Mikoa Mingine Shida Tupu
Hakika,hiyo ndio root pekee anayoiweza,kwingine huku hana maajabu kabisa
 
Nilipanda hilo bus kutoka dar kwenda mwanza, kwanza stand lilitoka saa 2, tulivyofika Moro likaingia kwenye yard yao pale mjini wakatukalisha pale almost masaa mawili. Tulifika Mwanza saa moja asubuhi.
kwanini ukupiga cm sumatara?
 
Nilipanda Abood Inayotoka Mwanza Kwenda Dar Es Salaam
Ajabu Tulipofika Dumila Bus Ikaanza Kuonyesha Ishara Kwenye Dash Board Kuwa Mafuta Yanakwenda Kwisha
Driver Aliendesha Mpaka Bus Ikaisha Wese Porini Konda Akashuka Akahaha Kutafuta Mafuta Tena Kidumu
 
King of the Road.

Naona saizi Abood kapunguza kuzikagua na kuwatembelea wafanyakazi wake. Alikuwa anaingia stand Msamvu, Yard kukagua dereva akiwa mzembe anawajibishwa mpaka wakawa wakiona gari yake wanahaha. Saizi jua limezama atafute management nzuri kusimamia magari, hata trucks zake saizi madereva wamekuwa kama kambale.
Waafrika ndo tulivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom