Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,775
Kwa mabasi ya route ndefu Abood SIO.
Hawa keep time…. Wanaokoteza abiria
Hawa keep time…. Wanaokoteza abiria
Ukifika Gairo watakuzukia na tiketi ya mzigo, vinginevyo kwy mzani watakwambia shuka kodi boda liwaishe mzigo mbele ya mzani kule ndiyo upandishwe tena. Dar hadi Musoma kuna mizani kama 4 hivi usipopita Usagara. Bei ya boda mara 4 ni shg ngapi?Begi la kawaida kabisa halikai kwenue kubebeo chao cha ndani. Nimeweka kama mzigo kwenye buti. Hawajaomba hela ya ziada lakini pia hawajanipa hata namba ya begi langu. Uaminifu tu.
Hazifanyi kqzi
View attachment 2522422View attachment 2522423
Lita20 hata reserve hakuna hapo....hayajafikia but naimani umefika salamaGari imegoma kuwaka hata wslipoweks mafuta ya kidebe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nipe mimi iyo laki5 niwachafueTaarifa muko kundi mnaotumika kibiashara kuandika taarifa za kuchafua.mimi nilifwatwa niandike nilikataa ndio maana mnaandika mnalipwa niliahidiwa laki 5 kama ntakuwa naandika kuchafua nikamwogopa mungu.
Mwaka jana nilikuwa naenda Mbeya , nilipanda Abood la Kwenda Tunduma, hadi tunafika Iringa baadhi ya seat zilikuwa hazina abiria tangu tumetoka Dsm, hilo unalosema linasubiri kujaza ni Abood ya wapi ?Abood ni basi la kiswahili sana Tena sana,inabidi ulizoee tu. Pia wafanyakazi wake kila mmoja ana nguvu kama vile hakuna management. Yeye analeta mabus tu lakini wafanyakazi ndio wanayoendesha.
Abood zote lazima mjazane ndani ya gari ndio wanaondoka.
Taarifa muko kundi mnaotumika kibiashara kuandika taarifa za kuchafua.mimi nilifwatwa niandike nilikataa ndio maana mnaandika mnalipwa niliahidiwa laki 5 kama ntakuwa naandika kuchafua nikamwogopa mungu.
Walitoa matangazo kuwa wanaanzisha njia ya Dar kwenda Karagwe.
Hadi leo haijaanza.
Sidhani km ni kweliTaarifa muko kundi mnaotumika kibiashara kuandika taarifa za kuchafua.mimi nilifwatwa niandike nilikataa ndio maana mnaandika mnalipwa niliahidiwa laki 5 kama ntakuwa naandika kuchafua nikamwogopa mungu.
Daahhhh hawa jamaaa basi sioTuko hapa shinyanga. Gari ni Dar Musoma. Imeingia stend na kutoka. Sasa tangazo limetoka kuwa gari haipiti Mwanza bali inapita Bariadi. Hivyo abiria anayeenda Mwanza ateremke atatafutiwa usafiri mwingine kwenda Mwanza.
Abiria wameteremshwabali kidogo na stend. Hakuna choo wala nini. Sasa basi la Musoma limesimama mpaka basi la Mwanza lifike. Shida kabisa.
Ni saa 6 kamili usiku sasa.
Basi lina mende kibao.
Acha kutetea ujinga, abood huduma zao ni ovyo.. yawezekana ulipanda, kipindi hkna abiria... Hta abood za moro to Dar full kusimamisha abiria.. Mara kibao zinaishiwa mafuta njian...Mwaka jana nilikuwa naenda Mbeya , nilipanda Abood la Kwenda Tunduma, hadi tunafika Iringa baadhi ya seat zilikuwa hazina abiria tangu tumetoka Dsm, hilo unalosema linasubiri kujaza ni Abood ya wapi ?
Nakushukuru.Wanafika bukoba. Karagwe yako mengine unamlazimisha wakati mali yake. Kweli mbumbu wako wengi.
Wewe fala nini, sasa unataka niandike kitu ambacho sikuki experience ?Acha kutetea ujinga, abood huduma zao ni ovyo.. yawezekana ulipanda, kipindi hkna abiria... Hta abood za moro to Dar full kusimamisha abiria.. Mara kibao zinaishiwa mafuta njian...
Sasa Kama huko experience acha wenzio wakupe experience siku ukikutana nazo unakuwa unazielewa we binti sawa.Wewe fala nini, sasa unataka niandike kitu ambacho sikuki experience ?
Mimi nilipanda basi ambalo halikujaza abiria, unataka niandike basi limejaza abiria?
Na kwa taarifa yako nilisafiri tarehe 28 mwezi wa 12, sasa utaamua mwenyewe kama ni kipindi chenye abiria au kisicho na abiria.