Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,481
Kuna basi linaitwa Tembo safari, linatokea Dar, walinitapeli kwa kuniambia linafika Kigoma kumbe linaishia Kahama. Wakaniandikia ticket ya Kigoma , tulipofika Kahama konda akanikimbia.
Mbaya zaidi nilikuwa na mizigo na wamenitoza nauli yake Hadi Kigoma. Polisi wa pale stendi ya kahama nao hawana maana. Badala ya kunisaidia wananiomba rushwa

, Aisee pole sana. Nacheka utadhani mazuri.😀 😀 😀 😀Yani unaombwa rushwaa tenaKuna basi linaitwa Tembo safari, linatokea Dar, walinitapeli kwa kuniambia linafika Kigoma kumbe linaishia Kahama. Wakaniandikia ticket ya Kigoma , tulipofika Kahama konda akanikimbia.
Mbaya zaidi nilikuwa na mizigo na wamenitoza nauli yake Hadi Kigoma. Polisi wa pale stendi ya kahama nao hawana maana. Badala ya kunisaidia wananiomba rushwa
Wasukuma/waha bwana🤔(kidding)Kuna basi linaitwa Tembo safari, linatokea Dar, walinitapeli kwa kuniambia linafika Kigoma kumbe linaishia Kahama. Wakaniandikia ticket ya Kigoma , tulipofika Kahama konda akanikimbia.
Mbaya zaidi nilikuwa na mizigo na wamenitoza nauli yake Hadi Kigoma. Polisi wa pale stendi ya kahama nao hawana maana. Badala ya kunisaidia wananiomba rushwa
Gari imeisha mafutaHuwezi amini limebuma hapa baada ya kupita Doma wanajaribu kuwasha lakini wapi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Siyo msukuma wala MhaWasukuma/waha bwana🤔(kidding)
Ni TABU SANA😀 😀 😀 😀Yani unaombwa rushwaa tena
Kwahiyo bodaboda kaagizwa galoni😅😅😅Gari imeisha mafuta View attachment 2521764View attachment 2521765View attachment 2521766
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio wanaweka ya kwenye kidumuKwahiyo bodaboda kaagizwa galoni![]()
Interesting 😅😅🖖🏾Ndio wanaweka ya kwenye kidumuView attachment 2521786
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Halafu matairi Ni kipara sana. KulikoniNdio wanaweka ya kwenye kidumuView attachment 2521786
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Halijabuma Hapo Ujue Mafuta Yameusha Kama Nakudanganya FuatiliaHuwezi amini limebuma hapa baada ya kupita Doma wanajaribu kuwasha lakini wapi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hiyo Inakwenda MusomaNdio wanaweka ya kwenye kidumuView attachment 2521786
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haa HaaNi TABU SANA
Wewe Siyo Mnafki Abood Bure Kabisa Ni Rangi TuMu nipo Moshi ukiona napanda Abood kuja huku ujue BM nimekosa nafasi,hakuna kampuni hapo, ni uswahiliswahili tu,hawajali kabisa muda wa client wao