Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,197
- 37,525
Kinana Baba yake ni Msomali na Mama yake ni Mtanzania nadhani alizaliwa Nduruma Arusha na alikuwa Monduli wakati huo Chuo cha Taifa cha Uongozi (CTU) akiwa akiwa Kamisaa wa Siasa (Political Education Officer).
Hakuna kitu kama hicho Kinana baba na mama wote ni wasomali 100 %.Mwaka 1995 aliukibia ubunge wa Arusha baada ya watu kukwapua faili lake uhamiaji.