Mwenzio Jatropha ambaye hapo kabla nilikuwa nadhani ana kitu kichwani naye amefikia kuhusisha PARADISE hotels na utekai nyara meli wakati wote tunajua kuwa PARADISE wamekuja Tanzania hata kabla ya masuala ya Al Shabab na utekaji nyara meli kufikiriwa. Asili ya fedha za PARADISE iko wazi kabisa lakini sio hili la Al Shabab na Piracy......The owner of Paradise alikuwa Waziri wa Fedha wa Somalia ya Said Barre kabla ya kutimka mwanzoni mwa kuanguka kwa taifa la Somalia....
Kingine ni hili la kumuhusisha Batilda Burian na usomali na utekaji nyara meli unaotaka kufanya hapa. Yaani this is what TLP candidature for parliament can offer to wanaARUSHA??? Tayari Batilda ameshakuwa MSOMALI ama kwa kuwa ni muislamu na ameolewa na Mpemba basi kwa akili yako tayari huyo atakuwa na mahusiano na AL QAEDA na Wateka nyara meli...
Acheni siasa za uzandiki hizi zilizojaa mbegu za chuki za kijamii ndipo muanze kumuomba mungu aibariki Tanzania yetu...
omarilyas
ndio kampeni meneja wa CCM
Sifahamu sana hizi habari ila tayari Mkuu naona maneno yako yanapishana na ukweli.
Said Barre alikuwa Rais wa Somalia na si Waziri wa fedha. Sasa nashindwa kuendelea kuamini maneno yako zaidi. Huyu jamaa alipinduliwa na General Aidid May 1991 na January 1995 alifia Lagos Nigeria.
Kama ni kweli alikuwa na miradi yake Tanzania, sidhani kama angelikwenda Nigeria. Kule ni mbali na Tanzania ingelikuwa karibu.
Ukiangalia movements na biashara za Wasomali ndani ya Africa na nje ya Africa, unaweza kugundua kuwa kulikuwa na kitu kikubwa wanapika hawa jamaa. Miaka ya 90 mwanzoni, kuna wasomali walianza tayari biashara haramu Ulaya kwa scale kubwa sana. Sintashangaa movements hizo zikachanganywa na kuangalia Film za Pirates, wakaamua kuanzisha biashara hiyo. Wanaosimamia ni lazima wawe watu Wazito na hao vijana huwa wanatumika tu. Maadamu yanalipwa Mamilioni na Somalia hamna kitu, basi hizi pesa lazima ziwe zinakwenda Kenya/Tanzania na nje ya Africa hasa Ulaya na US.
Kaka kiswahili lugha ya Taifa. Nilichosema ni kuwa alikuwa Waziri wa Fedha wakati wa kuanguka kwa serikali ya Siad Barre...
Na kinachoongelewa hapa ni PIRACY ya utekaji nyara meli na sio ile ya FAKE DVDs...
Na hili la pili hadi sasa kama unavyoonyesha wewe ni assumption tu kama ambavyo hawa jamaa wanavyotaka kumhusisha Kinana na hilo mradi tu yeye ni msomali....That is wrong
Nakubaliana nawe kabisa kuwa kuna suala la money laundering linaendelea hapa nchini na wasomali kama ilivyo kwa watu wengine wakiwemo watanzania wazawa na wa kuhamia wanahusika. Lakini hilo halitoshi kuanza kumhusisha Kinana na kila kosa ama dhambi ya msomali ama amtanzania mwenye asili ya kisomali hapa nchini. Hizi ni siasa mufilisi na wote tunajua faida yake kama ambavyo ilionyesha mwaka 2005 a matunda yake hadi sasa...
Naomba kuuliza yule Msomali anayemiliki Mgahawa wa Liverpool maeneo ya Mombo na City Garden mjini Dar wanaundugu na Kinana? Sura zao zinashabiahiana hata na yule anayemiliki hotel ya Paradise Beach Resort Bagamoyo?
Kaka kiswahili lugha ya Taifa. Nilichosema ni kuwa alikuwa Waziri wa Fedha wakati wa kuanguka kwa serikali ya Siad Barre...
Na kinachoongelewa hapa ni PIRACY ya utekaji nyara meli na sio ile ya FAKE DVDs...
Na hili la pili hadi sasa kama unavyoonyesha wewe ni assumption tu kama ambavyo hawa jamaa wanavyotaka kumhusisha Kinana na hilo mradi tu yeye ni msomali....That is wrong
Nakubaliana nawe kabisa kuwa kuna suala la money laundering linaendelea hapa nchini na wasomali kama ilivyo kwa watu wengine wakiwemo watanzania wazawa na wa kuhamia wanahusika. Lakini hilo halitoshi kuanza kumhusisha Kinana na kila kosa ama dhambi ya msomali ama amtanzania mwenye asili ya kisomali hapa nchini. Hizi ni siasa mufilisi na wote tunajua faida yake kama ambavyo ilionyesha mwaka 2005 a matunda yake hadi sasa...
Wacha kutetea jambo usilolijua.
Nadhani huwajui wasomali vizuri ukitaka kuwajua anzia kenya enzi ya utawala wa Mzee Moi aliwatoa ajira nyingi kwa raia wa Somalia kwasababu za kisiasa za wakati wake.Wasomali walipoingizwa jeshini wakaanza kupachikana kila sehemu nyeti kiasi kwamba imekuwa vigumu kuwadhiti.
Kenya imegeuka Somalia ndogo fedha haramu zimeingizwa kwenye uchumi. Wasomali wamefika mahali wakaanza kupinga maamuzi ya serekali ya Kenya mfano mzuri serekali ya Kenya ilipomkatalia kibali cha kuishi mjakaika gaidi Al Shabab wazua vurugu ya ajabu jijini Nairobi.
Lipi unalolijua wewe zaidi ya mediocre assumptions based social preudices and stereotypes????
Unashindwa hata kutambua kuwa wasomali ni sehemu ya Kenya kama ilivyo wamasai walivyo katika Tanzania na Kenya...Hivi unajua kuwa karibia robo ya eneo la nchi ya kenya ni eneo asilia la wakenya wenye so called asili ya somalia???
Kama money laundering na ujambazi hizi hao unaowaita wasomali wamewazidi wakikuyu na wakalinjeni wanaoendesha uchumi wa kifedhuli wa nchi hiyo???
Inaelekea upeo wako wa kisiasa na kihistoria unaishi katika habari za magazeti tu....
Halafu unaomba ridhaa ya kuwawakilisha wanaARUSHA.....

Kinana namfahamu.
1. Alikuwa mwanajeshi na cheo cha kanali
2. Ni kweli ana asili ya kisomali
3. Sina uhakika kama kazaliwa Tanzania lakini alienda sekondari ya Old Moshi na Lowassa na matokeo yake ya Form Four alipata Division 0.
4. Alikuwa mbunge wa Arusha kuanzia 1985 na alikuwa Naibu wa ulinzi chini ya Salim Salim.
5. Alikuwa Jirani wa Lowassa kwenye nyumba za msajili maeneo ya sanawari arusha kuanzia miaka ya mwisho ya sabini mpaka ya mwanzo ya 80.
6. Amejenga nyumba maeneo ya nyiro kilimani pale Arusha
7. Wakati wa mkapa alikuja kujiendeleza kielimu.
8. Yeye ndiye aliyewaunganisha Kikwete na Lowassa kuwa marafiki kwasababu anawafahamu wote. Kikwete kutoka jeshini na Lowassa jirahi wa siku nyingi.