Hivi kisheria meli inayokamatwa na nyara za serikali sio kuwa inataifishwa kama ilivyo kwa magari? Sasa serikali ya CCM hiko wapi kutekeleza hii sheria kama kweli inasimamia utawala wa sheria?
Unauliza swali la kisheria halafu unaona uvivu wa kuambatanisha hiyo sheria yenyewe na vifungu vyake...kisha una conclude kuwa hakuna sheria iliyofuatwa. Maana nzima ya post yako imekufa
Hivi wadau, meli hizi sio zile zinatumika kubebea zile boti ziendazo kwa kasi kule ghuba ya Aden???
bado mnaendelea kuuuliza maswali lakini hamuna majibu na wala hakuna nayewajibu...hamjiulizi tatizo la JF ya 2010 ni nini?
kazi ya hizo meli ni kubeba mizigo sasa whats the problem au kama unayo leseni inayosema kuwa sheria za HEALTH AND SAFETY zimekiukwa then utatusaidia sana ukizileta hapa
Inasemekana pia kwamba anasafirisha twiga hai kuwapeleka uarabuni na mama siti na wale waarabu wa loliondo
si hivyo tuu inasemekana kuwa anasafirisha binadamu toka ardhini kuwapeleka ISS huko juu na si hivyo tuu hata lile shirika la angala la NASA analimiliki Kinana....
Ni sawa na kumiliki SEMI trailer alafu inakutwa na Shaba unasema sio yako,ikikutwa na bangi angalau kiloba unaweza sema wamekuchomekea.
Hivi kila mwenye SEMI TRAILERS ya mizigo iendayo mikoani LAZIMA amiliki hata mizigo iliyokodishwa mle?
Izo ndo deal zilizo wainua waburushi wengi RUJEWA NA IRINGA zama zile via Ruaha NP.
statement hii pekeyake ilitakiwa upigwe ban na Mods humu ndani kwani una wahukumu watu kwa sababu tuu ya asili yao pasipo kuleta ushahidi wa kusupport hoja yako
usikute hata kikwete mwenyewe ana hisa kwenye hiyo meli
more assumptions
Wasomali wanafahamika dunia nzima kwa ujangili wa tembo, biashara ya meno ya tembo na uharamia. Haishangazi kwa msomali kuwa jangili na haramia, tena analindwa na waheshimiwa ndiyo usiseme.
Mods hivi ethics za mijadala ndio hizi JF siku hizi? Mnawahukumu watu kwa sababu ni wa Somali au WAISLAM?
Ni sawa hata ukawa nazo mia! Lakini endapo tunakuta bangi ndani ya nyumba yako, ni nani tumuulize? Utakuwaje mmiliki wa meli ambayo inafanya biashara kati ya mataifa na wala usijali kuwa na mkakati wa kuzuia uwezekano wa biashara haramu kusafirishwa ndani yake? Nina uhakika, kama ingekuwa ni nchi nyingine yeyote duniani,
hivi ni kazi ya kinana kwenda bandarini kukagua kila meli inayoondoka?
Kinana angewajibishwa kwa kutakiwa aachie ngazi ofisi ya uma.
kwa kosa lipi?
Namkumbuka Nyerere aliposema, wenzetu wana miiko, na hapo akatoa mfano mmoja mrahisi kabisa kwamba Waziri moja huko Uingereza ilibidi aachie ngazi tu sio kwa kushikwa bali kwa kusikika anatembea na wanawake wa mitaani....hii ndio tunasema uadilifu, kiongozi wa uma huwezi ukawa karibu na vitu visiyokubalika kwa jamii, hata kama ni harufu!
sasa kipi kischokubalika kwenye jamii alichokifanya Kinana ili awajibishwe?
Yote tisa, yeye ni mmiliki wa kampuni inayoendesha hio meli, hahusiki na shughuli za kila siku za kampuni, safi kabisa! Lakini je tangu wakati ule ameambiwa na kuimbiwa Kinana unafanya biashara hovyo, amefanya nini mpaka sasa hivi. Naweza kuapa ile meli itakuwa imeshapeleka shehena nyingine huko Hongkong!
Hivi mpaka leo umeambiwa NDESAMBURO anafanya biashara gani? Nauliza lete hoja tena yenye ushahidi wa kisheria kuonyesha makosa ya kinana hapa
Amewajibika vipi, atueleze leo baada ya manunguniko yale alifanya nini na anazuiaje chombo chake kisiwe geneza la biashara haramu,,,,,,wasomali bwana...oh samahani CCM Bwananaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nchi ina vyombo kede kede vya sheria sasa tatizo liko kwa kinana afterall nchi hii haiongozwe ni minunguniko bali sheria na je kuna sheria yoyote inayombana au iliyomhukumu Kinana? hakuna!
of course then unarukia WASOMALI once again ili kutuonyesha how misguided hoja yako ilivyo maana baada ya kushindwa kuja na hoja kamili umeishia kulalama kuhusu WASOMALI!
Ayayayayaaa kweli nchi hii inaliwa na wenye choyo na kujengwa na wenye moyo, Kinana kama yeye kumiliki meli ni ishu ya kustaajabisha na pia ana chata kibao zinazopeleka watalii mbugani zipo arusha, kia na dia.Huyu ni fisadi kama JK na Lowasa na wengine ndio maana wakamchagua awe kampeni meneja wa CCM na anajua sana kuchakachua kura ndio maana wanampa nafasi kubwa kwenye uchaguzi huu,Hili ni jizi limejifunza huko kwao somalia, Nchi hii huliwa na wageni wazawa tuko hoi mbaya.Jamani wakati wa mabadiliko ni huu.PIPOOOOOOOOOOOOS PAWAAAAAAAAAA.CHAGUA CHADEMA.
hii ndio JF ya 2010! Home of the great "THINKERS"
unaona unavyolia kama mtoto wa kambo.................u wakala wa meli ,ndege whatever unajona nani tukuongelee ww...who cares?
Tunaongelea uharamu unaofanywa na huyu msomali unazani hatumjui kuanzia alipokuwa anazuga pale IPS building na hivyo vikampuni.
U sound like sweet L.E.A.S.B.I.AN wh.o.re
GREAT THINKERS AT WORK!