Mhhh nchi za wenzetu mtu anajiuzuru kwa kashfa ya namna hii, ila kwetu mhhh si unaona mzee vijisenti wamemlinda weee mpaka Mungu kamuumbua na kesi ya kugonga bajaj, sasa wamtetee na hapo
Wasomali wanafahamika dunia nzima kwa ujangili wa tembo, biashara ya meno ya tembo na uharamia. Haishangazi kwa msomali kuwa jangili na haramia, tena analindwa na waheshimiwa ndiyo usiseme.
usikute hao waheshimiwa wanapata kitu kidogo toka kwenye biashara hizo haramu.
Yumo huyo!!
Did any body expect him to confess that he owns the cargo? He is inn unless proved otherwise. Kama si wake, dili zima analijua angalau. Kionanan wee!
mhh majungu tu humu ndani.........
hata usahihi wa habari hupati........
Kumbe kinana sio meneja wa kampeini tu bali ni meneja wa kampuni ya wizi ya sisi m?
wewe nae unajidhalilisha...
kabla ya kumshambulia mtu,angalau pata usahihi wa habari....
nimeuliza swali,kinana ana kampuni ya uwakala wa meli au anamiliki meli?
sijajibiwa so far????????
wewe nae unajidhalilisha...
kabla ya kumshambulia mtu,angalau pata usahihi wa habari....
nimeuliza swali,kinana ana kampuni ya uwakala wa meli au anamiliki meli?
sijajibiwa so far????????
wewe mbumbumbu kweli kuna maelezo Kinana kanukuliwa anaongea kuhusu swali lako hujasoma una kashifu watu na why spoon feeding dam! Soma utaona anavyote au
Soma kwanza post yangu ni swali tu! sasa naona povu jingi linakutoka vipi wewe?