Abdulrahman Kinana: Who is he?

ARK ni mjumbe wa NEC na CC ni mtengeneza sera za chama anayetegemewa

nakubaliana nawe...

ni brain ya ccm ya leo..

alikuwepo kwenye kampeni za chemkapa 1995 na 2000 kadhalika kikwete 2005 na hii 2010....

tusisahau pia kwenye kamati ya mwinyi baada ya richmond...

nadhani ni excellent strategist mwenye kukubalika na pande zote wakati wote zenye kuhasimiana ndani ya chama tawala...
 
Originally Posted by think BIG View Post
"He is very professional ... katika utendaji wake wa kazi! Nilibahatika kufanya nae kazi sehemu fulani, na nili-appreciate kichwa chake!

Yeye ni mwanachama mwenye heshima sana ndani ya CCM, na mara nyingi hutumiwa kusuluhisha mipasuko ndani ya chama (Mbeya alishafika!).

Kwenye biashara, kila unapomkuta Sir Andy Chande basi nae Kinana yupo! hawa ni washikaji sana kibiashara, na mara nyingi wako kwenye Bodi za serikali pamoja!"

Atakuwa Freemason
 
Huyo ndo Kinana
Nakumbuka nilikutana naye siku moja Helisink nikamwambia nipo huku kwa ishu za arts. akasema there is no science in Arts so beat it. Nilimchukia tangia hapo mpaka sasa.
 
Huyu Kinana ni Msomali ambaye tumefichwa kuambiwa aliingaje Tanzania na kupewe madaraka mbalimbali ingawa inajulikana kabisa kuwa si mtanzania. Jamaa aliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha!
Basi mamluki wengi sana! Na ndo maana wataendelea kuhakikisha CCM haitoki madarakani. Najisikia kutukana tu
 
KINANA ndiye wakala wa AL Shabab ya Somalia hapa nchini. Anatumia wadhifa wake ndani ya CCM kusafisha fedha chafu za makundi mbali mbali yanayohusika na utekaji nyara wa meli za mizigo katika Ghuba ya Somalia. Fedha hizo kwa mamilioni ya Dola za Kimarekani hulipwa na wenye meli ili meli zao na shehena za mizigo iliyobeba zipate kuachiwa (RANSOM). KINANA ndiye wakala wa kusimamia uwekezaji wa fedha hizo hapa nchini katika katika miradi mbali mbali ikiwemo mahoteli kama vile PARADISE,TANSOMA (TANZANIA SOMALIA); Uchimbaji wa madini; VIWANDA KADHAA N.K.

NI FISADI MKUBWA SANA, ILI KUJENGA MTANDAO WA UTAKAJI MAELI KULE KWAO SOMALIA ALIITUMIA SERIKALI YA CCM NA BAADHI YA MAWAZIRI KUUA SHIRIKA LA UMMA NASACO LILILOKUWA LIKIFANYA UWAKALA WA BIASHARA YA MAELI HAPA NCHINI KUTOKANA NA UNYETI WAKE KWA USALAMA WA TAIAFA NA KIMATAIFA. NA YEYE NDIYE ANAHODHI BIASHARA YA UWAKALA WA MAELI ILIYOKUWA IMESHIKWA NA NASACO KAMPUNI YA UMMA. nI KWA KUTUMIA KUHODHI BIASHARA YA UWAKALA WA MELI KATIKA AFRIKA MASHARIKI NA KATI IKIWEMO TANZANIA, KENYA, SOMALIA N.K HIVYO KUPITIA KWAKE NDUGU ZAKE WA KISOMALI HUPATA RATIBA NA KUFAHAMU SHEHENA YA MIZIGO ILIYOBEBWA NA MELI MBALI MBALI NA KUZIWEKEA MITEGO YA KUZITEKA NYARA KATIKA GHUBA YA SOMALIA ILI KULIPWA FEDHA KUZIACHIA.

UJIRA WA MASKKINI WA KISOMALI WANAOTUMIKA KUFANIKISHA UTAKAJI NYARA MELI NI KUVUSHWA KUTOKA SOMALIA KWENDA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA KUMALIZA KIPINDI FULANI CHA UTEKAJI NYARA MELI WENYE MAFANIKIO. HIVYO KINANA NDIO HUSIMAMIA MTANDAO WA KUWAVUSHA WASOMALI KUPITIA KENYA, TANZANIA, MALAWI N.K HADI AFRIKA YA KUSINI KWA KUTUMIA FEDHA ZITOKANAZO NA UTEKAJI NYARA MELI KUWAHOINGA MAAFISA UHAMIAJI, POILIS N.K ILI KUWAVUSHA WATEKAJI NYARA MELI WAKE .

CCM NI MAFISADI TUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
!
 
Halafu jiulize usafi wa mgombea wetu anayesimamiwa na Kinana katika kampeini zake za kurudi Ikulu. Niambie rafiki yeyote wa JK asiye fisadi, nitakupa kumi 500 ya kununua gazeti ulipendalo.
 
Huyu Kinana ni Msomali ambaye tumefichwa kuambiwa aliingaje Tanzania na kupewe madaraka mbalimbali ingawa inajulikana kabisa kuwa si mtanzania. Jamaa aliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha!

.....No....alikuwa Mbunge wa Arusha mjini na Naibu Waziri wa Ulinzi mpaka 1995 watu walipohoji uraia wake akayayuka.....na kuibukia kwenye madili machafu kwa kutumia serikali.....naaamini kabisa ni yeye aliyewaunganisha Wasomali wenzie wakina Gire na Lowasa..
 
Huyu Kadogoo kama kweli anamjua Kinana atuambie baba yake aliitwa nani kama sio Sheikh na ni mwarabu. Mama yake ni msomali. Na atusadie kutambia hili jina Kinana alipataje. Kama sio E Sokoinne alimuingiza kwenye siasa toka jeshini?? Tueleze ukweli.Toka Jeshini hakupelekwa Yugoslavia kama Political Commissar? Labda unaweza kutusaidia uhusiano wake na wale warabuu wa Loliondo (wawindaji) na hayo magari yao yalikuwa kwake Masaki.

Kama wa JF kweli wakitaka kuifuata history yake na utajiri wake ya wizi itawabidi waende kule UK kuhesabu nyumba zake na nani anakaa humo.

Na nikiendelea mtashangaa.

:confused2:Hivi naomba kuuliza, is it a crime ndani ya nchi yetu hii mtu ukiwa nakastatus kidogo kufahamiana na mwekezaji?
 
Huyu Muungwana yupo Dar, baada ya kuondoka kwenye Uspika wa EA, hivi sasa amebaki na Wadhifa wake wa muda mrefu wa Chairman wa Red Cross - Tanzania, akiwa na Katibu wake mkuu na rafikiye mkubwa Adam Kimbisa,pia yupo busy na biashara yake ya kufua nguo pale Namanga - Dar (Falcon).

Ni mjumbe ktk bodi mbalimbali na bado serikali inamtumia kwenye mambo mengi kwa sababu ya Umtandao wake!

Inawezekana kweli yupo Harvard lakini habari hiyo itakuwa mpya zaidi.

Sio kufua nguo tu pia yeye ni mmoja wa wenye hisa kwenye kampuni moja wa uwakala wa meli kama sikosei ni diamond shipping na ndio wenye ile yadi ya kamata kwenye kona ya shauri moyo na nyerere road ana mpambe wake wa kizungu anaitwa amekua akionekana sana ofisi za serikalui hasa TRA na TPA utadhani kaajiriwa.....all in all wana intrest zao kwenye biashara mpya itakayoanza pale kamata na wamekuwa wakiwafanyia hiyana wawekezaji wazawa kwenye biashara kama ile....
 
Mhhh nchi za wenzetu mtu anajiuzuru kwa kashfa ya namna hii, ila kwetu mhhh si unaona mzee vijisenti wamemlinda weee mpaka Mungu kamuumbua na kesi ya kugonga bajaj, sasa wamtetee na hapo
 
A quote from Julius Nyerere " Kila nilipokuwa nikitaka kung'atuka, walikuwa wakiniambia Mwalimu andelea tu, hii nchi bado ni changa na umeitoa mbali, nchi haitaendelea bila wewe. Nami niliendelea, hadi pale nilipokuja kugundua kumbe nchi changa wanayoiongelea ni FAMILIA ZAO, na hazitaendelea bila mimi kuwepo madarakani, maana walikuwa hawana uhakika kama RAIS ajae atawaacha katika nafasi walizokuwa nazo" mwisho wa nukuu. Haya ndio maneno wasemayo viongozi wetu wa sasa, wanasema BILA CCM nchi haitaendelea, lakini ukweli ni kuwa BILA CCM ufisadi wao hautaendelea, maana hawan uhakika kama CHAMA kingine kikichukua nchi watabaki salama!
 
Warya Kinana amechelewa kujitetea....Kila kitu kipo wazi,atajificha wapi wakimueleza kuwa wanawafahamu hata wale vijana wa Ngaramtoni wanaowatuma kuwinda hao Wanyama?Ugomvi hapa sio nani mmiliki wa SSA bali mzigo unaosafirishwa na SSA ni wa nani?......Bado Tanzania tuna safari ndefu hawa viongozi wetu ndio wanaofanya kila uovu.Kinana si Mmiliki tu wa Sharaf pia ndiye mtu ambaye anahusika na hizo Nyara zilizokatwa Singapore!

Kwa story hii naanza kuunganishaots ya wale wasomali walioua OCD kule umasaini Arusha
 
Akina EL na RA nao wameunda geshi (sorry wamenunua geshi) KK sekyuriti ni mali yao!
 
Kinana acharuka - meli ni yangu lakini shehena la meno ya tembo silijui


Kinana acharuka, asema ametumika kama pilipili kwenye kachumbari!

Tanzania Daima

KADA maarufu na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema hahusiki na usafirishaji wa meno ya tembo nje ya nchi, ikiwa ni siku moja tu tangu gazeti moja la wiki, lichapishe habari iliyomuelezea kuwa mmoja wa wamiliki wa kampuni iliyosafirisha meno hayo.

Hata hivyo, kada huyo amekiri kuwa mmiliki wa Kampuni ya uwakala wa meli ya Sharaf Shipping Agency, iliyohusika kusafirisha makontena yaliyokuwa na nyara hizo za serikali, kabla ya kukamatwa nchini China yakiwa safarini kupelekekwa Hong Kong.

Gazeti hilo lilimtaja Kinana kuwa mmoja wa wamiliki wa kampuni hiyo kwa kuwa na hisa 7,500 kati ya 10,000 katika kampuni hiyo, huku hisa nyingine 2,500 zikiwa zinamilikiwa na mshirika mwenzake, Rahma Hussein. Thamani ya hisa hizo ni sh 1,000 kila moja.

Kinana alitoa ufafanuzi huo katika mahojiano maalum na Tanzania Daima.

"Nimeisoma habari hiyo na kwa bahati mbaya sioni anayenilaumu wala kitu ninacholaumiwa nacho. Kwamba nina hisa katika kampuni ya wakala wa meli ya Sharaf ni kweli.

"Lakini mimi sina nafasi yoyote ya kiutendaji na wala sishughuliki na uendeshaji wa kampuni hiyo. Kwa kweli sikujua na wala sikuhusika kwa namna yoyote ile na usafirishaji wa makontena hayo na mengine yoyote," alisema Kinana.

Alisema anachojua yeye ni kwamba, maofisa wa kampuni hiyo waliuliza na kuambiwa kuwa shehena iliyokuwa katika makontena hayo ni plastiki zilizotumika.

Alifafanua kuwa, wenye wajibu na mamlaka ya kukagua shehena zote zinazosafirishwa nje ya nchi ni mamlaka za serikali na si kampuni ya uwakala wa meli.

Alisisitiza kuwa, hana mamlaka kwa mujibu wa sheria kukagua mali inayosafirishwa japokuwa anaweza kuuliza bidhaa iliyopo katika makontena hayo.

"Ni dhahiri kabisa kwamba, habari hii imeandikwa na jina langu kutumika katika malengo ambayo siyajui. Nahisi kama jina langu limetumika kama pilipili katika kachumbari ili kunogesha habari.

"Kwa bahati mbaya pilipili imezidi katika kachumbari. Kama lengo lilikuwa kupasha habari, basi umma umedanganywa," alisema Kinana.

Kwa mujibu wa habari hiyo, sakata la kukamatwa kwa nyara hizo za serikali liliibuliwa kwa mara ya kwanza na Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela, katika Bunge lililopita la bajeti.

Ilidaiwa kuwa, nyaraka hizo zilionyesha kuwa, kilichokuwa ndani ya makontena hayo ni plastiki zilizodurufishwa na baada ya ukaguzi kufanyika, iligundulika kuwa, kilichokuwemo ni pembe za ndovu.

Habari ya gazeti hilo hata hivyo, ilimnukuu ofisa mwandamizi wa Wizara ya Viwanda na Biashara, akieleza wazi kuwa kazi ya kukagua kilichomo kwenye kontena linalosafirishwa si ya wakala wa meli kwani, wenye mamlaka na idhini ya kufanya hivyo ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Akichangia makadirio ya bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii ya mwaka 2009/2010, Kilango alisema utafiti wake umeonyesha kuwa, makontena hayo yalipitia bandari ya Dar es Salaam na nyaraka zinaonyesha ndani kulikuwa na plastiki.

Kilango alisema nchi zinazoongoza kwa kupokea nyara kutoka Tanzania ni Philipines, China, Singapore na Hong Kong.

 
Kule Kenya wakati wa KANU walikuwa na mtu kama huyu.....akiitwa Josephat Kulei....baada ya KANU kupungua makali naye akafifia....just wait na you will see his demise....ila ana nguvu ya ajabu...alipokuwa Minister of Defence msaidizi wake binafsi alikuwa huyu mnadhimu mkuu wa sasa wa jeshi...pia toka Arusha....and I can bet on my aa my pension kuwa ndiye aliyemshawishi JK kumweka pale.....ni yeye kwa kumtumia Iddi Simba ndio waliotibua shipping industry yetu kwa kuiua NASACO...yeye hutumia watu wengine kupata maslahi yake...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom