Abdulrahman Kinana: Who is he?

.... sawa sawa. CCM ya zama hizi ndo kinara wa uozo. Nawakumbushia pia biashara chafu ya silaha ambayo Balozi Royal aliivalia njuga wakati ule alipoenda kwa Rais aliyekuwa in power na kumpa laivu. We acha tu! Ilibidi aondoke Tanzania kabla ya muda wake. Baadae si imekuja ile report ya UN. Sasa nawahakikishiani kwamba Victor Bout atawaumbua jamaa flani sana. Hata kama post-October 2010 hawatakuwa in power. Amandla!
 
Kinana, moja wa watu watatu wenye busara (wengine wakiwa Mwinyi na Msekwa) ambao wamepewa jukumu la kupatanisha makundi ndani ya CCM - nani atamgusa ? Hivi humo ndani ya CCM hakuna hata moja asiye FISADI ? Kaazi kweli kweli !

Warya rudi Mogadishu sasa
 

unaweza kutuletea ushahidi wa tuhuma zako
 
hivi kuna mahakama imemhukumu kinana kwa tuhuma zozote zile zinazotolewa hapa?
 
Pia ndio mwakilishi wa mwana mfalme Raisi wa Loliondo
 
Inasikika toka muda mrefu maneno kwamba City Garden restaurant, na Paradise city hotel (pale posta mpya) zilizo chini ya paradise group zinamilikiwa na wasomali.

Huyu fisadi Kinana hawezi kuwa mmoja wa hao wanaomiliki?

Ni kwa uhakika asilimia 100 kwamba Paradise ni mali ya msomali naliyeteleza toka somalia. Hii haina ubishi. Ni jinsi gani ameiingia serikali yetu hadi kuitumia hoteli hiyo kwa mikutano mikubwa mikubwa kabla haijaungua kule Bagamoyo, hilo ni jingine.

Nyongeza: Kinana akiwa waziri wa Ulinzi ofisi ya Rais, alikuwa wa kwanza kuanszisha biashara ya silaha na Kabila. Hilo pia CCM wanalijua na sikuona sababu ya kuendelea kumpa nafasi ktk ipindi hiki. Lakini kama ilivyo imani yangu, CCM ni cartel. kwao sijui sera na .... maendeleo siyo kazi yao. Muhimu ni kujineemesha.
 

si hivyo tuu unajua hata NASA kule America iko owned na Kinana

pia huyu huyu Kinana lile ziwa Victoria nalo ni la Kinana

Pia hata JF ni mali ya Kinana

bila kusahau kuwa kampuni za FACEBOOK, GOOGLE, APPLE, COCACOLA,MITTAL STEEL,RIM,na zote ni za Kinana

ohh nimesahau hata kampeni ya CHADEMA nayp iko funded na Kinana

yaani sitoshangaa kuambiwa kuwa hata Dr SLAA naye yuko bankrolled na Kinana...ambaye anaown kila kit including Bahari ya Hindi, Ziwa Tanganyika, infact hata Queen Elizabeth naye yuko chini ya Kinana ambaye kwenu keshakuwa MUNGU MTU!
 
Sir Andy Chande ni Freemason wa kiwango cha juu sana. Join the dots......

Mtu B miye umeni-mix kidogo, hivi freemasons ni aina gani ya biashara? Mara kadhaa nimesikia kuwa hiyo ni biashara kubwa inayoshamiri hapa Tz na Kenya? Niliambiwa kuwa MD wa hiyo biashara katika East Africa ni huyo Sir Chande na kwamba katika biashara hiyo wamo watu wakubwa wengi kutoka nchi zote za East Africa. Mfano wa wakubwa hao ni rasi Moi, rais Mkapa, sir Chande nk. Ukweli bado huwa sielewi vizuri hiyo ni biashara gani wanafanya hawa wakubwa! Labda kama kuna ufafanuzi zaidi naomba nisaidiwe?


Na kuhusu ….


Nakubaliana na wewe kuwa mmiliki wa Paradise ni Msomali aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Somalia ktk serikali ya Siad Barre. Baada ya kutokea vurugu nchini alikimbilia hapa Tanzania akahifadhiwa na serikali yetu. Kwasasa anaishi Kigamboni na huko ana kiwanda cha kutengeneza viatu. Kiwanda hicho kinaitwa Ital Shoes Ltd na kipo huko Kigamboni hadi sasa.
 

Sidhani kama kuna majibu zaidi ya hayo.Mengine ni majungu.Jenerali anayaita "kila mtu na kamhogo kake."
 
Issue kinana ni kampeni meneja hapo ndio Chadema waneumia na kuanza majungu hapa JF.
DJ MBOWE KASAIDIWA SANA NA KINANA LEO ANATUMIA JF KUMSAHMBULIA KINANA.
 
BUGURUNI tatizo Kinana ni kampeni meneja na ndio roho ya CCM, SASA WAKISHAM DISTURB KINANA WANAAMINI NDIO WATASHINDA.WATASHINDA VIPI KWA MGOMBEA KUWA NA ELIMU YA DARASA LA SABA? MBOWE ANA MADENI HADI BREWERIES. SLAA KAIBA MKE WA MAHIMBO. HAWAAMINIKI HAWA.
 

Mmmesahau kuwa hata ile kampuni ya kuchimba madini ya Australia ya BHP nayo ni ya KINANA...na ile hoteli ya BURJ AL ARAB nayo ni ya Kinana na tusisahau ile timu ya MIAMI HEAT nayo ni yake na bila kusahau kuwa MTV nayo iko owned na kinana..inshort Kinana owns everything inluding serikali ya UJERUMANI, SAUDI ARABIA, JAPAN na kwingineko

tusisahau ule mlima Kilimanjaro nao pia ni wa Kinana
 
Wanaweweseka na kinana achana nao ndugu yangu.hawa wana zaidi ya hili. Tizama kuna thread zaidi ya nne za kinana kwanini iwe leo? Kuna kubwa hapa bwana buguruni kwa mnyamani.
 
Msije mkasema Kinana ni mmoja wa wale ndugu zake wa Al shabab. Shauri zenu mimi simo.
 
urai wa kinana Tanzania ni wamashaka, kinana ni raia halali wa somalia(MSOMALI) na kwamba uraia wake haupo katika sifa tatu za urai i.e citizenship by birth, citizenship by legislation, citizenship by registration . kwa hiyo kzi kwa uhamiaji kupambanua hili.? inawezekana kabisa ni MKIMBIZI , ccm inatupeleka wapi jamani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…