Abdulrahman Kinana: Who is he?

Abdulrahman Kinana: Who is he?

His nationality has been a subject of querries in the past. Can anyone tell please whether there was a ever a satisfactory answer?
 
alishapata citizenship by registration.

hawa wa by registration, huwa mara nyingi wamevuruga waliko toka na sana sana wanakuwa kwa maslah binafsi sana. Na wanaurai a zaid ya mmoja .....!
 
urai wa kinana Tanzania ni wamashaka, kinana ni raia halali wa somalia(MSOMALI) na kwamba uraia wake haupo katika sifa tatu za urai i.e citizenship by birth, citizenship by legislation, citizenship by registration . kwa hiyo kzi kwa uhamiaji kupambanua hili.? inawezekana kabisa ni MKIMBIZI , ccm inatupeleka wapi jamani?

Ndo maana anaonekana ana genes za kule kwa maharamia wa kisomali! Mtoto wa nyoka ni nyoka hata kama atatoka wapi kuja TZ. Watanzania tumezoea na tunataka kulinda amani yetu. Huyu Kinana asituletee za huko alikotoka na sumu yake
 
Yawezekana huyu bwana si raia make jinsi anavyo vuruga amani ya nchi inaonesha haimuumi kabisa. mi naona tuishikie bango tumtimue aende kwao ambako hawana serikali
 
aliombewa uraia na rais wa somalia, hakuna cha kuandikishwa wala kuzaliwa, arudi kwao tu, tunataka amani
 
urai wa kinana Tanzania ni wamashaka, kinana ni raia halali wa somalia(MSOMALI) na kwamba uraia wake haupo katika sifa tatu za urai i.e citizenship by birth, citizenship by legislation, citizenship by registration . kwa hiyo kzi kwa uhamiaji kupambanua hili.? inawezekana kabisa ni MKIMBIZI , ccm inatupeleka wapi jamani?

Whatever it is, inaonesha ni jinsi gani CCM hawako serious na maslahi ya inchi..
Haiwezekani mtu ambaye amepewa urai, afikie hatua ya kupewa madaraka makuba kama aliyonayo Kinana. Ukizingatia ni msomali, potelea mbali hata kama nitaonekana ni mbaguzi. Lakini msomali si wa kumpa nafasi ya juu katika serikali ya nchi.

Tusishangae tukajaziwa watu wa ajabu hapa.

Na kama haifai, alipewa hata nafsi kubwa ya jeshini... to me this is nonsense, nafikiri uzalendo wangu kwa inchi yangu utanifanya nionekane mbaya.

Knana hatufai, na sababu kubwa ni uraia wake wa Somalia.
 
msishangea hata pesa za maharamia wateka meli zimetumika kuhakikisha ccm wanabaki - kupitia kinena; si unajua majambazi tena
 
nadhani watanzania tuwe makini, ukweli Kinana ni Msomali ila alishapata uraia kama nilivyosikia, cha msingi ni je mtu asiyekuwa na asili ya nchi aweza kweli kuwa na uchungu na nchi aliyohamia?? je kuwa mtanzania kuna faida zozote za msingi kukuona unatufaa?? mbona wapo watanzania wenzetu mafisadi na wasio na uchungu na nchi hii?? ni mjadala mrefu..
 
Hayo yote yamekuja baada ya wapinzani kuona wanashindwa??

Nyie mnatakiwa kuandamana na chama kutetea matokeo kama mnaona yamechakachuliwa na sio kuingilia mambo ya ndani ya chama!!!!!!!!
mmefulia wapinzani
 
kukosa viti vingi na urais ndicho kiwaumacho,
kama tatizo amani kwani wanaochoma magari mwanza, nyumba lindi na tandika ni ccm, si ninyi wa upinzani, mmeshindwa mnatafuta sababu, na bado tutawaongoza sana, CCM Oyee1
 
wa kwanza kujua nani raia na nani sio raia ni kikwete na riziwani halafu masha anaweza kutusaidia japo imekula kwake
tumuulize masha..............atatusaidia
 
kukosa viti vingi na urais ndicho kiwaumacho,
kama tatizo amani kwani wanaochoma magari mwanza, nyumba lindi na tandika ni ccm, si ninyi wa upinzani, mmeshindwa mnatafuta sababu, na bado tutawaongoza sana, CCM Oyee1

Crap !!!!!!!
 
sio huyo tu wahindi na wachina wamejaa kibao kariakoo na ukitaka uwe salama hata kama ni jambazi jiunge ccm. ila ucijitoe mana ukijitoa tu yatakukuta kama yaliyomkuta jeneral ulimwengu miaka ile.
 
Wakati ule anailetea sifa tanzania hamkujua kama si raia? Mnajua sasa?
Acheni unazi na fitna nyie chadema.
 
kukosa viti vingi na urais ndicho kiwaumacho,
kama tatizo amani kwani wanaochoma magari mwanza, nyumba lindi na tandika ni ccm, si ninyi wa upinzani, mmeshindwa mnatafuta sababu, na bado tutawaongoza sana, ccm oyee1

hongera sana mkuu. Wajinga hao waambie
 
sasa huyu mtu akikosa, mabom kama ya uganda bila kuwa na vyanzo vya undugu yatapita wapi si unawajau wasomali kuwa mafia utashangaa alqueada wapo hapa wa kisomali
 
huyu ni msomali bwana.arudi kwao atuachie nchi yetu,oia ana miliki boti na meli za uvuvi.atueleze amezpiataje pataje.
 
Back
Top Bottom