Restoration
New Member
- Oct 28, 2010
- 3
- 1
kati ya biashara nyingi anazomiliki Kinana ni WIA, Internet providers. Aliwahi kuhusishwa pia na mipango ya ujenzi wa Waterfront City pale baada ya Selander Bridge
tatizo hapa ni KINANA THE MUSLIM
Inasikika toka muda mrefu maneno kwamba City Garden restaurant, na Paradise city hotel (pale posta mpya) zilizo chini ya paradise group zinamilikiwa na wasomali.
Huyu fisadi Kinana hawezi kuwa mmoja wa hao wanaomiliki?
Hivi hapa munajadili nini? Huyu Kinana ni Kada wa CCM na alishawahi kushika nyadhifa mbalimbali ktk nchi yetu wala huko nyuma wakati wa utawala wa Mwalimu, Kinana hakuwahi kujadiliwa uraia wake ila ktk kipindi cha Mwinyi na huyu mwendawazimu aliyekuwa wakati huo Waziri wa mambo ya ndani Augustine Mrema!
Huyu Mrema alikuwa na rafiki yake aliyetaka kugombea ubunge wa arusha lakini tishio lilikuwa ni Abdurahmani kinana aliyekuwa mbunge wa muda mrefu huko Arusha na kwa kweli alikuwa akipendwa sana na wananchi wa Arusha Mjini, ndipo huyu Mwendawazimu Mrema kwa kutumia wadhifa wake huo akachomowa faili la uraia la Kinana ktk uhamiaji na kupayuka kuwa Kinana hawezi kugombea ubunge wa arusha mjini ati kwa sababu uraia wake unautata!
Sasa na nyinyi humu bado munaendeleza majungu yaleyale yaliyopitwa na wakati? yaani badala ya kujadili mambo muhimu yanayotukera leo kama vile ujinga, maradhi, njaa, shida ya umeme, barabara mbovu, rushwa,ukabila, udini, ujambazi, mauwaji, uongozi mbovu, umasikini, nk. tunamjadili Kinana kama ni raia au si raia? sasa mumevuka mpaka maana munataka kuingilia kazi za uhamiaji!
Kama hamumjui Kinana basi mimi namjuwa vizuri sana, mtaa na hospitali aliyozaliwa, Baba yake na mama ake wote ni wa TZ sasa kama nyinyi munaushahidi kuwa Kinana si raia basi thibitisheni hilo ili uhamiaji waweze kumshugulikia! lakini hilo haliwezekani kwani yeye ni kada damu wa CCM labda ajiunge na upinzani!
Kama munadai Kinana si raia ati kwa sababu asili yake ni usomali basi mbona wengi wetu hatutakuwa raia kwani asili zetu wengi ni kutoka nchi mbalimbali kama vile Malawi, Zaire, Kenya, Uganda, Ethiopia, Comoro, Arabuni nk.?
Tuache majungu na hasa hasa udini maana huyu Kinana kwa kuwa munamuona ni Muislamu na ana asili ya usomali! hata Salim Ahmed Salim alijadiliwa Uarabu wake wakati akigombea urais 2005!
Nchi yoyote yenye kufuata misingi au utawala wa sheria haiwezi kumbagua raia wake yoyote yule kwa misingi ya rangi, dini, jinsia au asili ya mtu! tuache fitina na chokochoko! sanasana wewe unaemjadili Kinana tukikuchunguza tunaweza kukugunduwa uharamu wa uraia wako!
Huyu Kadogoo kama kweli anamjua Kinana atuambie baba yake aliitwa nani kama sio Sheikh na ni mwarabu. Mama yake ni msomali. Na atusadie kutambia hili jina Kinana alipataje. Kama sio E Sokoinne alimuingiza kwenye siasa toka jeshini?? Tueleze ukweli.Toka Jeshini hakupelekwa Yugoslavia kama Political Commissar? Labda unaweza kutusaidia uhusiano wake na wale warabuu wa Loliondo (wawindaji) na hayo magari yao yalikuwa kwake Masaki.
Kama wa JF kweli wakitaka kuifuata history yake na utajiri wake ya wizi itawabidi waende kule UK kuhesabu nyumba zake na nani anakaa humo.
Na nikiendelea mtashangaa.
kukosa viti vingi na urais ndicho kiwaumacho,
kama tatizo amani kwani wanaochoma magari mwanza, nyumba lindi na tandika ni ccm, si ninyi wa upinzani, mmeshindwa mnatafuta sababu, na bado tutawaongoza sana, CCM Oyee1
Ni sawa na kumiliki SEMI trailer alafu inakutwa na Shaba unasema sio yako,ikikutwa na bangi angalau kiloba unaweza sema wamekuchomekea.
Izo ndo deal zilizo wainua waburushi wengi RUJEWA NA IRINGA zama zile via Ruaha NP.
TZ ni mwendo wa chukua chako mapema ie CCM.
Kama kinana ndo kampeni manager sasa JK si lazima afuate nyayo za manager wake
Hivi hapa munajadili nini? Huyu Kinana ni Kada wa CCM na alishawahi kushika nyadhifa mbalimbali ktk nchi yetu wala huko nyuma wakati wa utawala wa Mwalimu, Kinana hakuwahi kujadiliwa uraia wake ila ktk kipindi cha Mwinyi na huyu mwendawazimu aliyekuwa wakati huo Waziri wa mambo ya ndani Augustine Mrema!
Huyu Mrema alikuwa na rafiki yake aliyetaka kugombea ubunge wa arusha lakini tishio lilikuwa ni Abdurahmani kinana aliyekuwa mbunge wa muda mrefu huko Arusha na kwa kweli alikuwa akipendwa sana na wananchi wa Arusha Mjini, ndipo huyu Mwendawazimu Mrema kwa kutumia wadhifa wake huo akachomowa faili la uraia la Kinana ktk uhamiaji na kupayuka kuwa Kinana hawezi kugombea ubunge wa arusha mjini ati kwa sababu uraia wake unautata!
Sasa na nyinyi humu bado munaendeleza majungu yaleyale yaliyopitwa na wakati? yaani badala ya kujadili mambo muhimu yanayotukera leo kama vile ujinga, maradhi, njaa, shida ya umeme, barabara mbovu, rushwa,ukabila, udini, ujambazi, mauwaji, uongozi mbovu, umasikini, nk. tunamjadili Kinana kama ni raia au si raia? sasa mumevuka mpaka maana munataka kuingilia kazi za uhamiaji!
Kama hamumjui Kinana basi mimi namjuwa vizuri sana, mtaa na hospitali aliyozaliwa, Baba yake na mama ake wote ni wa TZ sasa kama nyinyi munaushahidi kuwa Kinana si raia basi thibitisheni hilo ili uhamiaji waweze kumshugulikia! lakini hilo haliwezekani kwani yeye ni kada damu wa CCM labda ajiunge na upinzani!
Kama munadai Kinana si raia ati kwa sababu asili yake ni usomali basi mbona wengi wetu hatutakuwa raia kwani asili zetu wengi ni kutoka nchi mbalimbali kama vile Malawi, Zaire, Kenya, Uganda, Ethiopia, Comoro, Arabuni nk.?
Tuache majungu na hasa hasa udini maana huyu Kinana kwa kuwa munamuona ni Muislamu na ana asili ya usomali! hata Salim Ahmed Salim alijadiliwa Uarabu wake wakati akigombea urais 2005!
Nchi yoyote yenye kufuata misingi au utawala wa sheria haiwezi kumbagua raia wake yoyote yule kwa misingi ya rangi, dini, jinsia au asili ya mtu! tuache fitina na chokochoko! sanasana wewe unaemjadili Kinana tukikuchunguza tunaweza kukugunduwa uharamu wa uraia wako!
Hana unalodhania bali mjamaa aaslia alie baki katika wanafunzi watiifu wa mwalimu!!!!!!!!!!!!
<br />Mkuu<br />
Usisahau kwamba wapo watu waliopewa misukosuko ya uraia japokuwa walikuwa watumishi waheshimika wa serikali kwa muda mrefu k.m kina Jenerali Ulimwengu, na wenzake. Kwa vile Kinana ni kibaraka watu wasimjadili?. Kuhusu kupokea wageni waarabu kumbukeni wakati wa Mwinyi Kinana alihusikaje na Loilondo scandal watanzania tunasahau haraka ndo maana tunachezewa mno.
<br />I believe that twenty years ago while trying to contest for a parliamentary seat in consituency in Arusha he got into some immigration trouble whereby he went underground to smoothen up things before reemerging in the roles he has been taking since 1995. I doubt whether he was born in Tanzania, I believe he is a naturalised citizen.
NDG YANGU FIKIRI MARA MBILI KENYA KUNA WAKENYA WENYE DAMU ZA KISOMALI AMBAO HATA LIGHA YAO SI KISOMALI KA WABORANA GHARE HAWA NI WAKEYA PIA KUA OGADEN AMBAO HATA ETHIOPIA WAPO HILI HALIWAZUII WAO KUWA SERIKALINI PI WASOMALI ASILI NI WAJASIRIA MALI NDIO MAANA WANAPATA MAENDELEO HARAKA
Wacha kutetea jambo usilolijua.
Nadhani huwajui wasomali vizuri ukitaka kuwajua anzia kenya enzi ya utawala wa Mzee Moi aliwatoa ajira nyingi kwa raia wa Somalia kwasababu za kisiasa za wakati wake.Wasomali walipoingizwa jeshini wakaanza kupachikana kila sehemu nyeti kiasi kwamba imekuwa vigumu kuwadhiti.
Kenya imegeuka Somalia ndogo fedha haramu zimeingizwa kwenye uchumi.Wasomali wamefika mahali wakaanza kupinga maamuzi ya serekali ya Kenya mfano mzuri serekali ya Kenya ilipomkatalia kibali cha kuishi mjakaika gaidi Al Shabab wazua vurugu ya ajabu jijini Nairobi.
Kinana duh kumbe yupo hai? Nilidhani kesha kufa!