Hoja mfu. Hata Makongoro Nyerere alikuwa Nccr Mageuzi. Ccm haina ubaguzi kama Chadema.Aaah wapi,kapinge mawazo ya mmliki wa Sasa ujikute coco au segerea, kutoka chama cha wakulima na wafanyakazi Hadi sacooss ya mtu mmoja apangae Nani apite Nani asipite, wahamiaji wote ni lzm wapite,nyie mtaendelea kusugua Sana mabenchi.
Tena watasema kawaomba sana kwa kuandika barua sitaWatamrudisha baada ya uchaguzi kupita Kama walivomrudisha Lowasa na sumaye
Kuomba msamaha ni uungwana bwashee!
Hicho ndicho kilichowaponza CUFWamemfukuzaje wakati alishaondoka?
Lowasa karudi CCM ili apate nini? kesho ikitoka madarakani?Lowassa mwenyewe karudi CCM ila pengine si kwa ajili yake binafsi bali pia kwa kizazi chake maana Siasa za kiafrica huwa hazina mipaka, hata maisha yako binafsi yataingiliwa kukudhoofisha..
Njaa ndo uwarudishaHoja mfu. Hata Makongoro Nyerere alikuwa Nccr Mageuzi. Ccm haina ubaguzi kama Chadema.
CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama.Kamati kuu haina mamlaka ya kufukuza. Inatoa pendekezo tu. Kama mtu keshajitoa mwenyewe, the so called mkutano mkuu hauna haja ya kumjadiri tena na hilo pendekezo linakuwa halina mantiki (overtaken by events...)
Simple logic ila zwazwa hawezi elewa hii
Correcting Error: KINANA IA INSTITUTION,Ninampongeza Mheshimiwa Raisi, kwa kuona mbali. Kuna baadhi ya watu kwenye chama cha siasa ni mtaji mkubwa katika uhai wao, na pia watu hao wanakuwa watu wasio na uchu wa mali, bali wanakuwa watumishi wa chama na nchi.
Ndugu kinana ni mmojawao na zaidi, ndio maana chama kimepokea matendo yake ya busara aliyoyafanya kuomba msamaha hadharani.
Sio wazo zuri kuweka uadui na kiongozi wa chama, tena mwenye uwezo, ujuzi, mhifadi siri, anayependwa na wanachama na wananchi, anayeheshimiwa na upinzani na vipngozi wa nchi za njee. Kwenye hili Raisi Magufuli ametumia ujasiri na siasa za hali ya juu kumrejesha Col.Kinana zizini.
Well done Mzee Kinana, ama kweli wewe ni asset na A JEWEL IN THE CROWN,
Washamba sanaWanamfukuza mtu ambaye tayari alisharudisha kadi na sio mwanachama wao?
Ninampongeza Mheshimiwa Raisi, kwa kuona mbali. Kuna baadhi ya watu kwenye chama cha siasa ni mtaji mkubwa katika uhai wao, na pia watu hao wanakuwa watu wasio na uchu wa mali, bali wanakuwa watumishi wa chama na nchi.