Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Mbona leo sielewi?
huelewi nini leo!!!!!!!!!
Mbona leo sielewi?
atakayejitokeza ajiandae kwenda kunyofolewa viungo vya siri na ngozi.
aisee wewe unafaa zaidi hadi shopping...lini unarudia mkuu twende wote?Mbona mi nilishafanya ya dizaini kama hiyo na msichana tusiejuana kabisa na ilienda poa sana tu, hadi leo amekuwa swahiba wangu sababu alifurahi sana. Lakini mi nili-cover pamoja na costs za mahitaji yake binafsi ikiwa ni pamoja na shopping ya nguo za mtoko, nilimlipa pia japo haikuwa makubaliano. Ni outing ilochukua almost 48 hrs!
kaskazini kuna vivutio zaidi jamanihii janja yako ya kwenda kusalimia nyumbani , jamaa anataka tour bana.
.....Au ngoma!
kaskazini kuna vivutio zaidi jamani
aisee wewe unafaa zaidi hadi shopping...lini unarudia mkuu twende wote?
Wanajamvi, mimi ni mpenzi wa safari na mitoko si ya anasa just for leisure.
Hivyo basi nahitaji mdada anayejitambua umri kuanzia 18 mpaka 30, ambaye tutasafiri naye maeneo ya morogoro and mbeya just for tour, nitatumia gari private and all costs are mine yeye ni company tu. Tarehe ya tour ni mwezi august btn 6th to 12th.
Sifa.
Awe charming
Asiwe mkorofi
Asiwe mlevi wala mvuta sigara
Awe mtanzania
Awe na pia yake ya ziada kwa matumizi personal (coz gharama yangu ni lodge, food na usafiri tu)
Activities tutakazofanya ni pamoja na kupiga picha maeneo mazur..
Ambaye yupo interested ani PM.
Note.
It is just a tour, hamna ngono aka sex.
Mdumange au Msondo?
kwan ww huna mchumba?....kuwa muwaz unataka kungonoka...usijidai una akili km za CCM
Huwa nafanya mara 2 kwa mwaka, si tulilala chumba na kitanda kimoja, ye ndo alitaka hivo, nahisi aliogopa kukimbiwa. Tulilala yeye akiwa naked kabisa, lkn fresh tu, saa 7 ucku nikamwamsha tukaingia club hadi 5:30am tukageuka, msiogope!
Wanajamvi, mimi ni mpenzi wa safari na mitoko si ya anasa just for leisure.
Hivyo basi nahitaji mdada anayejitambua umri kuanzia 18 mpaka 30, ambaye tutasafiri naye maeneo ya morogoro and mbeya just for tour, nitatumia gari private and all costs are mine yeye ni company tu. Tarehe ya tour ni mwezi august btn 6th to 12th.
Sifa.
Awe charming
Asiwe mkorofi
Asiwe mlevi wala mvuta sigara
Awe mtanzania
Awe na pia yake ya ziada kwa matumizi personal (coz gharama yangu ni lodge, food na usafiri tu)
Activities tutakazofanya ni pamoja na kupiga picha maeneo mazur..
Ambaye yupo interested ani PM.
Note.
It is just a tour, hamna ngono aka sex.
Na mkirudi una mimba....
Hivi ni vitu vya kawaida..Lakini issue ni kuwa Mr. decentMan ametoa Tangazo kwa Public wakati dunia ya leo ni ya Freemanson na wachuna ngozi...Mr. DecentMan ..ndugu yangu na udecent wako umeshindwa hata kuokota bint mmoja kati ya marafiki wanaokuzunguka? Can't be true.. ..ndio maana wenzako wanakuwekea alama ya kuuliza???
shikamoo