A tour with a girl

A tour with a girl

The Angel you know is better than the devil you don't know!!
 
atakayejitokeza ajiandae kwenda kunyofolewa viungo vya siri na ngozi.
 
Ndo maana nimesema cost zangu, pesa ya kumlipa sina, just nataka mtu mwenye interest na tour...

fafanua lodge utalala nae chumba kimoja? na kama atalala chumba chake akitaka kulala na mwamume mwingine atakae honjomola hutajali, au akitaka akupe mbwa utakubali?
 
Mimi nipo teyari kwenda hiyo tour, lakn ntakuamini vp kua wewe sio freemason, mchuna ngozi, bakabaka, na utanirudisha kwetu salama??
 
Mbona mi nilishafanya ya dizaini kama hiyo na msichana tusiejuana kabisa na ilienda poa sana tu, hadi leo amekuwa swahiba wangu sababu alifurahi sana. Lakini mi nili-cover pamoja na costs za mahitaji yake binafsi ikiwa ni pamoja na shopping ya nguo za mtoko, nilimlipa pia japo haikuwa makubaliano. Ni outing ilochukua almost 48 hrs!
 
Mimi nipo teyari kwenda hiyo tour, lakn ntakuamini vp kua wewe sio freemason, mchuna ngozi, bakabaka, na utanirudisha kwetu salama??

kama una mashaka saana,kaa kando
waachie kina Smile......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom