A tour with a girl

A tour with a girl

Aaaahahaha, ww naona ndo mtundu zaidi ebu sema unafanyaje hapo??cha muhimu tour inoge but kanuni zizingatiwe aaahahaha...

Hapo kwenye bold ndio mabinti wengi naona wanajiuliza maswali...ila kila la kheri ukirudi usisite kutuabarisha japo kwa picha 2 tatu.
 
Guys, niliweka tangazo juu ya tour; na nilipata positive responses kadhaa. Thanks alot nimempata mtu wa kutoka naye for tour and will give feedback when we get back. Thank you all.
 
Guys, niliweka tangazo juu ya tour; na nilipata positive responses kadhaa. Thanks alot nimempata mtu wa kutoka naye for tour and will give feedback when we get back. Thank you all.

Wow, so good. All the best man decent.,
 
Guys, niliweka tangazo juu ya tour; na nilipata positive responses kadhaa. Thanks alot nimempata mtu wa kutoka naye for tour and will give feedback when we get back. Thank you all.

Oyaaaaaa...,
Tour haijaisha mshikaji? Tupia highlights basi!!
 
Wanajamvi, mimi ni mpenzi wa safari na mitoko si ya anasa just for leisure.

Hivyo basi nahitaji mdada anayejitambua umri kuanzia 18 mpaka 30, ambaye tutasafiri naye maeneo ya morogoro and mbeya just for tour, nitatumia gari private and all costs are mine yeye ni company tu. Tarehe ya tour ni mwezi august btn 6th to 12th.

Sifa.
Awe charming
Asiwe mkorofi
Asiwe mlevi wala mvuta sigara
Awe mtanzania
Awe na pia yake ya ziada kwa matumizi personal (coz gharama yangu ni lodge, food na usafiri tu)

Activities tutakazofanya ni pamoja na kupiga picha maeneo mazur..

Ambaye yupo interested ani PM.

Note.
It is just a tour, hamna ngono aka sex.

Loh mambo ya mitoko.....job true true..
 
Back
Top Bottom