A tour with a girl

A tour with a girl

Hahaaa, ama kweli hadi mwaka huu uishe tutaona mengi.
 
Ingelikuwa siko busy ningekuja nawe ..
I love rod trips ..

Hopefully utapata wa ku join now ..
Have fun , life's toooooo bloody shot .
 
Marhabaaaaa ..Bint hutaki Tour safari tuku-recommend?

akuuuuuuuuuuuu mi mtu simjui halafu kafungua id leo kwa ajili ya tour wa nini.
Akinitoa kucha bila ganzi nani anataka
 
jamaa anatumia njia nyingine kutongoza...siku sita? mpaka wanarudi ndoa ishatangazwa! watu wenyewe hawa, they are naked even before u undress them!

Mkuu kama unahitaji ndoa c unasema tu, mbona it is simple. Anyway shida ya wabongo wengi wanadhani vile wanavyofanya wao basi watu wote wanafanya hivyo which is very very wrong!!!
 
Mkuu kama unahitaji ndoa c unasema tu, mbona it is simple. Anyway shida ya wabongo wengi wanadhani vile wanavyofanya wao basi watu wote wanafanya hivyo which is very very wrong!!!

Don't get me wrong mkubwa!
.. Kwanza umeshawahi kufanya adventure ya namna hiyo na stranger? Kama jibu ni ndio, adventure yenu iliishaje?
.. Kwa nini ufanye trip na stranger, likitokea tatizo (worst scenario, afariki huko gesti/safarini, kwa bahati mbaya) hudhani utabeba mzigo wa kujitakia?
.. Kwani hamna watu/rafiki wa karibu unaweza kufanya nao trip? for instancce, rafiki yeyote wakike( manake nahisi tatizo lako awe 'ke)

Jaribu kufikiria kabla ya kufanya trip kama hiyo na mtu usiyemjua...watu wanatembea na maradhi siku hizi, hata upepo ukipuliza tu kwishney
 
Mimi ni mwanaume sichangii chochote hapa.
 
Back
Top Bottom