Bin Kawambwa
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 480
- 358
umenichekesha
yaani nimejikuta tu nacheka....
Jf kweli raha!!!!!!!!!!
Jamaa vipi, unahisi haiwekani? Lkn ndo hivo we kubali poa, kataa poa. Hlf msiposhuriki mapenzi sio siri inanoga sana.
umenichekesha
yaani nimejikuta tu nacheka....
Jf kweli raha!!!!!!!!!!
Jamaa vipi, unahisi haiwekani? Lkn ndo hivo we kubali poa, kataa poa. Hlf msiposhuriki mapenzi sio siri inanoga sana.
aisee sasa lini tena?Huwa nafanya mara 2 kwa mwaka, si tulilala chumba na kitanda kimoja, ye ndo alitaka hivo, nahisi aliogopa kukimbiwa. Tulilala yeye akiwa naked kabisa, lkn fresh tu, saa 7 ucku nikamwamsha tukaingia club hadi 5:30am tukageuka, msiogope!
Huwa nafanya mara 2 kwa mwaka, si tulilala chumba na kitanda kimoja, ye ndo alitaka hivo, nahisi aliogopa kukimbiwa. Tulilala yeye akiwa naked kabisa, lkn fresh tu, saa 7 ucku nikamwamsha tukaingia club hadi 5:30am tukageuka, msiogope!
mind yangu wala haikuwa huko kwenye
kujua ni uongo au ukweli,nimecheka tu....
wewe ulilala naked au ni yeye tu!!
Ye alikuwa tayari kwa lolote, suala lilibaki kwangu tu! Mi nilibaki na boxer na taulo hata hvyo muda mwingi nilikaa nje, "ukiwa tayari chumbani kuna mlango mwingine wa kutoka nje, unakuwa km kibarazani, lkn cha kwako ww tu mwenye chumba hicho."
kitandani nilikaa nafkiri km saa 1 hivi, ile nimekaa tu akanifunika shuka, lkn haikuwa neno kwangu sababu sikuwa na lengo hlf ingeharibu outing.
aisee sasa lini tena?
dushelele nalo je!!!!!hapo alipokufunika shuka......
wanaume kama wewe ni wachache sana aisee
Kama tungesex basi safari yetu ya outing ingekuwa imeishia hapo, 2nd: angefikiri nimeshindwa kumtongoza ndo nkatumia gia hiyo kumsogeza.
Lkn baada ya hapo, si zaidi ya siku 3 mbele, akaanza meseji za mapenzi laivu kbs na kwa sasa nipo kwenye nafasi nzuri zaidi ya kushinda tena free of charge cause she really appreciating me.
cos she knows,there are few men like you
mko in bed,naked halafu asikubanjue ni wachache sana.....
cos she knows,there are few men like you
mko in bed,naked halafu asikubanjue ni wachache sana.....
Hujaulizwa wewe, mwache mleta mada ajibu
Hujaulizwa wewe, mwache mleta mada ajibu
Thanx, so msim-dis DecentMan, mtoa mada, hiyo kitu inawezekana hlf nzuri kichizi ila awe anamaanisha km alivosema, na si vinginevyo.
Pia mi huwa naona kutumia usafiri wa umma kwenye hii mitoko (tours & outing) ni nzuri zaidi kuliko private cars, unless kama mtakuwa as a family au watu wengi kidogo, lkn watu wawili tu, usafiri wa bus, daladala, tax, bajaji, boda boda, kwa miguu sehemu za mjini, ni nzuri kiukweli, mnapata nafasi nzuri ya kushangaa na kununua vitu vidogo vidogo. Pia kama mmetoka bomba, pamba za ukweli, basi mnaariiiiinga wenyewe in the streets, mi huwa napenda kusema "YOU PAINT THE TOWN!"