Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
anaogopa utamsemea kwa dady wako btn umempata kwa cm?
yaani amu na kwa hili
namkeep dady wake bize mara 4 yake...
Last edited by a moderator:
anaogopa utamsemea kwa dady wako btn umempata kwa cm?
Ye alikuwa tayari kwa lolote, suala lilibaki kwangu tu! Mi nilibaki na boxer na taulo hata hvyo muda mwingi nilikaa nje, "ukiwa tayari chumbani kuna mlango mwingine wa kutoka nje, unakuwa km kibarazani, lkn cha kwako ww tu mwenye chumba hicho."
kitandani nilikaa nafkiri km saa 1 hivi, ile nimekaa tu akanifunika shuka, lkn haikuwa neno kwangu sababu sikuwa na lengo hlf ingeharibu outing.
Hujaulizwa wewe, mwache mleta mada ajibu
stess za ur dady kuwa bize unataka uniletee mimi
mwezi wa ramadhani mdomo wangu ngoja niuchunge saana
Hivi una maana katika ukoo wenu hakuna hata mjomba/baba mdogo/shangazi/ binamu nk mwenye uhitaji na visenti? kwa mifumo ya maisha ya kitanzania lazima kuna ndugu yako ana uhitaji. Kwanini usimsaidie kwa hizo fedha unazopanga kumgharamia huyo girl? ni ushauri tu, nothing personal.
Usiseme hvo Dadiii hapendi
Naenda tour, nkirudi lazma nirudi wawili Dadyyyy atapenda tu
Mimi niko tayari, sina sababu ya kukupm weka mambo hadharani. Naomba kujua height yako kwanza kabla sijacommit.
"wa-iyyaak"
ila unasema saum maqbool.....
Nimeipenda hii mada, imetoka kitofauti kidogo. Ila ina majibu mengi kuliko maswali....
Unasema "wa Iyyaki" kwa jincia ya kike
JazakiLlah kheir
Vp akija mke charming na mmewe ila mme akae kiti cha nyuma....pia kuna wanaume wako charming kuliko hata huyo msichana unayetaka kwenda nae...vp nao hawa hawana lao??????????????? Jibu faster nikupe mautundu zaidi ndg Decentman
maswali ya nini tena!!!!!
Kwa mfano, tunajiuliza kwann asiende na mdada anayemfahamu...majibu c yatakuwa mengi kwetu?