A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

Mi sikufichi ndugu yangu tafuta walio na umri chini ya hapo utanishukuru
Walio katika 20s ambao wana maisha ya kawaida ila wanatafuta kuna wanaume huwaga hawana hulka ya umalaya. Jiweke tu vizuri vizuri punguza vitenge miaka 33 bado sana ...
Nmekushauri hivyo kwakua nmejaribu kuchunguza mwanaume mwenye 20s Gubu lake halijakomaa bado anajifunza mambo mengi!
Hio miaka unayoitaja kuna ma single father halafu sasa wana Gubu na ni much know hasa ukute wajafanya kazi yenye kamshahara kazuri
Mamdogoo utanikumbuka 😃
Una wrong perspective na sisi wazee wa 40s. Mimi ninamshauri aongeze hadi 45 ili apate wigo mpana.
 
Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Mwanaume above thirty hana mke halafu ana mtoto mmoja tu hawezi kuwa mwanaume serious hata kidogo.
 
Hi Brother Short.[emoji2] Usijali hizo Condition zake, Nenda Jaribu Bahati yako . Hawezi pata mtu wa age hiyo awe Employed au Business nini sijui , Na visifa zingine nyingi nyingi . halafu bado awe Single Hayupo[emoji1787][emoji1787]
Yaani awe umri huo ameet conditions na bado awe serious haiwezekani
 
Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
Haya masharti kama mnachagua gari ndiyo yanawakwamisha
Ungeishia kusema Man aged 32 to 42 labda na uwezo wa kusukuma pampu
 
Mwanaume above thirty hana mke halafu ana mtoto mmoja tu hawezi kuwa mwanaume serious hata kidogo.
Usiwakatie watu tamaa, wapo wengi tu na wapo serious maisha ni kuchagua kwamba kwa wakati fulani natakiwa kutimiza lengo fulani kuanza familia akiwa above 30 ni sawa ,hivyo Userious wa mtu usipimwe sana kwa umri
 
Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Namaste.
 
Naijuaaa hiooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom