A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

Hili ni jamvi la mahusiano Sasa mbona watu mnakebeh Kwan lengo la hii ni nin? Kutafuta wenza unakuta mtu yupo serious ila watu wazima wengine na familia zenu mnaandika rubbish for what?? Awe mkubwa sijui awe nani Kuna shida gan Kwan hakuna wanaume wanaotaka wanawake wa Rika lake? Au mmejikaririsha kwamba mwanamke wa miaka 30's hawez olewa people grow up achen mambo ya kitoto mda mwingine nayaona hebu achen watu wawe huru huwez jua Kuna wengine wanauhitaj ila wanaogopa kuandika sababu za majibu yenu
Ahsante sana kwa hii comment yako, kuna comments zinakatisha tamaa ila Mungu ndiye huona sirini na anajua lengo la kila mtu hivyo nitakua tayari kupokea kila aina ya comment positively.
Stay blessed šŸ™
 
Mi sikufichi ndugu yangu tafuta walio na umri chini ya hapo utanishukuru
Walio katika 20s ambao wana maisha ya kawaida ila wanatafuta kuna wanaume huwaga hawana hulka ya umalaya. Jiweke tu vizuri vizuri punguza vitenge miaka 33 bado sana ...
Nmekushauri hivyo kwakua nmejaribu kuchunguza mwanaume mwenye 20s Gubu lake halijakomaa bado anajifunza mambo mengi!
Hio miaka unayoitaja kuna ma single father halafu sasa wana Gubu na ni much know hasa ukute wajafanya kazi yenye kamshahara kazuri
Mamdogoo utanikumbuka 😃
Sasa hapo kwa 20s, si ataambiwa amebeba ka "benten", ambapo yeye tayari ni mshangazi!!!
 
Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Hii nafasi bado ipo?
 
Ndio maana kutafta mchumba Dar ni kijiweka rehaani roho na mwili.
Siyo Dar, bali hawa wanaoacha sicial media za kutafuta wachumba kama instagram, fb na zinginezo na kuja JF.

Wewe unatumia ID fake, ana kuja mtu ana kwambia nenda DM.

Unaenda huko unaanza kudanganywa unatoa contact za ukweli unajianika umeshasahau humu huwa unatukana. Unaishia kudakwa na intelligencia.

Ukitaka wanawake kaa mbali na JF, they Honey trap.
 
Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.

Mshaharibu maisha huko mnakuja kusumbua watu
 
Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Kwanini usiishi na huyo aliyekuandikia tangazo hili.
Nitarudi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom