SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,207
- 9,874
Alah humu hakunaga single men humu kuna wanaume za wenyeweJamani nacheka huku nilipo! Umenikumbusha mpenz wangu wa chuoni..
Alah humu hakunaga single men humu kuna wanaume za wenyeweJamani nacheka huku nilipo! Umenikumbusha mpenz wangu wa chuoni..
Wish you all the best.Ndiyo
Mwanamke mwenye 30+ haujaribu bahati wewe ndio unamsaidia. Hapo bidada maji yapo shingoni calculation alizopiga zote zimekataa.Ngoja nijaribu bahati yangu.
Naweza kuwa na fainali nzuri kama SIMBA SC.
Nimeandika mwenyeweKwanini usiishi na huyo aliyekuandikia tangazo hili.
Nitarudi.
Ni kweli sikubishii, naomba huo msaadaMwanamke mwenye 30+ haujaribu bahati wewe ndio unamsaidia. Hapo bidada maji yapo shingoni calculation alizopiga zote zimekataa.
Ahsante ila watoto siyo kikwazo sana ikiwa tutaelewanaWish you all the best.
Bado umri sahii wa kupata mwenza unao. Na utajenga familia bora....
Ningekua sina watoto zaidi ya mmoja ningefaa kabsa hapo.
HapanaUna tako?
Duh mbona mimi sifa ninazo na nipo singleHi Brother Short.😃 Usijali hizo Condition zake, Nenda Jaribu Bahati yako . Hawezi pata mtu wa age hiyo awe Employed au Business nini sijui , Na visifa zingine nyingi nyingi . halafu bado awe Single Hayupo🤣🤣
KaribuDuh mbona mimi sifa ninazo na nipo single
Hujapata bado?Karibu
Usi feel kutengwa, size zako zipo nyingi tu.Wazee tumetengwa, again...wazee tunatengwa sana!!
Huyo aliyekusaidia kuandika ndiye aliyeniambia kuwa amekushindwa haujatulia.Nimeandika mwenyewe
Sawa baada ya kujua hilo napokea ushauri sasaHuyo aliyekusaidia kuandika ndiye aliyeniambia kuwa amekushindwa haujatulia.
Hey Prisha Navutiwa nawe unavyojibu kiustaarabu/kiupole.Sawa baada ya kujua hilo napokea ushauri sasa
Let me be all yours, am I welcome my donna, I bought a beach cottage for your birthday my sweetie.Sawa baada ya kujua hilo napokea ushauri sasa
What is your height Prisha? What height is tall for you?Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Stop this, the lady is mine.What is your height Prisha? What height, is tall for you?