Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,547
Watekaji Wana mbinu nyingi, vijana muwe makini.
Siyo busara kuhusisha hivyo😪Watekaji Wana mbinu nyingi, vijana miwe makini.
You really have a calling in BROKEN English. Before searching for a husband, learn how to use punctuation marks. Your writing skills are very poor. Have you finished to kiss frogs?Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
If my request was clear to you, that's what matters to me.You really have a calling in BROKEN English. Before searching for a husband, learn how to use punctuation marks. Your writing skills are very poor. Have you finished to kiss frogs?
Your arrogance will land you on Mario's heart.If my request was clear to you, that's what matters to me.
Siyo kweli na yafaa nini kupotosha hivi ?😪Hahah wale mnaomtukana mamaaa msithubutu kwenda, wale walio pita MOCKBA wataelewa hizo zinaitwa HONEY TRAP, ukifika huko unaanza kujiachia una unlock ID yako na kujianika unaishia UKONGA.
Vyangudoa wakitaka kuolewa huwa wanahama kutoka Sinza anahamia Tangi Bovu anaonekana mpya, unashanga harusi kuubwa kumbe vijana wanakuchora tu.
Msitafute vya rahisi vinagharama sana.
👍Your arrogance will land you on Mario's heart.
Tunawafundisha vijana, kwamba Honey Trap ni njia za zamani sana za intelligence kabla ya electronic hivyo wawe waangalifu na mbinu hizi.Siyo kweli na yafaa nini kupotosha hivi ?😪
Ndio maana kutafta mchumba Dar ni kijiweka rehaani roho na mwili.Hahah wale mnaomtukana mamaaa msithubutu kwenda, wale walio pita MOCKBA wataelewa hizo zinaitwa HONEY TRAP, ukifika huko unaanza kujiachia una unlock ID yako na kujianika unaishia UKONGA.
Vyangudoa wakitaka kuolewa huwa wanahama kutoka Sinza anahamia Tangi Bovu anaonekana mpya, unashanga harusi kuubwa kumbe vijana wanakuchora tu.
Msitafute vya rahisi vinagharama sana.
Kwani uongo?! IshiiiSiyo busara kuhusisha hivyo😪
Asante sana vipi umeshatuma CV yako hapo mkuu?Nimependa tu jinsi Tangazo lilivyotolewa kwa Kiingereza. Inaonyesha yuko serious zaidi.
Binti Sayuni03 uko jiran angu! Pole na starehe za weekend.
Hapana siwez jiran Yangu.Asante sana vipi umeshatuma CV yako hapo mkuu?
Umechelewa😁😁😁Hapana siwez jiran Yangu.
Mm ni wako tu. 😂😂😂😂 sijawah mfuata mdada Inbox na kama nikimfuata mdada bas ww ndio utakuwa wa kwanza.
Basi simfuati mtu inbox jiran.Umechelewa😁😁😁