A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
vigenzo na masharti kuzangatiwa
 
Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Hivi samahani lakini nina swali,kwanini usiishi tu peke yako maisha yatakua mazuri tu hiyo age uliyoitaja hapo kwa wanaume ni age zile wanakaribia uzee na wewe inaonyesha umri huo huo,wewe achana na presha za mahusiano sahivi huu ni muda wakumjeukia Mungu wako uwe na amani ule vizuri uvae vizuri unasukuma ndinga life is sweet bila stress,pia huko makazini,mitaani,sehemu za ibada hujapata mtu kukusogelea muwe hata marafiki kwanza? Naamini ipo njia ya kuwa mwenye furaha tena zaidi ya walio na mahusiano
 
Ahsante kwa ushauri ,unajua kila mtu Ana imani yake naamini kuwa na familia niwe na mume wangu na furaha yangu itatimia kama nikitimiza hili,umri umeenda kweli siyo utani ila ndiyo natafuta mtu wa kuzeeka naye pamoja
 
Sawa kila la heri dada chagua kwa busara wapo ila zingatia mchujo na sifa unazotaka usije ukaokota takataka badala uzeeke nae kwa amani na furaha ndiyo anakuja kuwa mwiba na uchukui maisha kabisa, muombe Mungu atakae kuja aje na ishara nzuri ambazo utazitambua haraka ukapate hitaji lako,all the best ukiona vipi ishi single tu furahia maisha

Ahsante sana nimechukua ushauri👏
 
Mtu kachelewa ila bado anaweka standards as if ana miaka 19. 😂😂😂😂

Manunuzi ya jioni muuzaji huuza kwa bei yoyote.
Nimepokea ushauri na nimetoa vigezo vyote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom