nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 2,808
- 9,165
Hili ni jamvi la mahusiano Sasa mbona watu mnakebeh Kwan lengo la hii ni nin? Kutafuta wenza unakuta mtu yupo serious ila watu wazima wengine na familia zenu mnaandika rubbish for what?? Awe mkubwa sijui awe nani Kuna shida gan Kwan hakuna wanaume wanaotaka wanawake wa Rika lake? Au mmejikaririsha kwamba mwanamke wa miaka 30's hawez olewa people grow up achen mambo ya kitoto mda mwingine nayaona hebu achen watu wawe huru huwez jua Kuna wengine wanauhitaj ila wanaogopa kuandika sababu za majibu yenu