TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,710
- 20,717
Unahisi atakua ni nani huyu kaamua kuja na id mpya?🤣🤣 Angekuja na I'd yake .Angesaidika vizuri Ningempa Connection Nile Commission kidogo.
Unahisi atakua ni nani huyu kaamua kuja na id mpya?🤣🤣 Angekuja na I'd yake .Angesaidika vizuri Ningempa Connection Nile Commission kidogo.
Hata kikongwe!Huyu anashindwa kuelewa kwamba kwa umri huo yeye anatakiwa atafute tu anaepumua 😀😀
Nahisi Atakuwa Binti Sayuni03!Unahisi atakua ni nani huyu kaamua kuja na id mpya?
Mzee utatengwa kama tu huna hela. Ila kama hela ipo, niamini mimi; hakuna wa kukutenga.Wazee tumetengwa, again...wazee tunatengwa sana!!
Mie simo hukoNahisi Atakuwa Binti Sayuni03!
Atajifanya haelewi!Mzee utatengwa kama tu huna hela. Ila kama hela ipo, niamini mimi; hakuna wa kukutenga.
Like !!!Holla! i'm a lady age 33yrs old,Christian, i have no kids, am looking for a single man for a serious relationship with future, he should be 33yrs to 42yrs old,tall,christian,with no or not more than one kid, employed/business.
let's chat via pm.
regards.
Prisha.
Huyu aliachana na wa bodaboda!Mie simo huko
Thank youI wish you all The Best!
Amen 🙏Okay all the best I pray for u
Watakuja wengine usijaliUnder 33 tumetengwa
sawa bibieWatakuja wengine usijali
Amen 🙏Kila la kheri mkuu
Ahsante 👏Kila la kheri cute
Karibu sanaNipo hapa
Sawa nahitaji yeyote tuHata kikongwe!
Kwani lina shida gani?, napokea ushauriMkuu tangazo lako limekaa kimkakati sana